Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa kupata kura 69002 sawa na ushindi wa asilimia 87 wa kura halali zote zilizopigwa.
Soma Pia: Victor Mhagama kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho ni bada ya chama chake (CCM) kumpitisha kuwa mgombea
Lakini mama yao akajigawia 98%?Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa kupata kura 69002 sawa na ushindi wa asilimia 87 wa kura halali zote zilizopigwa.
Soma Pia: Victor Mhagama kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho ni bada ya chama chake (CCM) kumpitisha kuwa mgombea
Alikatwa huyokwani yule mtoto wa mhagama hakugombea, au nipo nyuma ya muda? au walimkata huko juu?
Mbona kwenye mazishi zungu alimpa uhakika mtoto? Kumbe huyu mama hataki watoto wa wengne eh, ndo maana aliuwa watoto wa watu kama kuku.Alikatwa huyo
Huyo anataka genge la kumsaidia kuiba na kumlinda, hana maslahi menginehuyu mama mshenz eh..mbona kwenye mazishi zungu alimpa uhakika mtoto? kumbe huyu mama hataki watoto wa wengne eh, ndo maana aliuwa watoto wa watu kama kuku.
Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa kupata kura 69002 sawa na ushindi wa asilimia 87 wa kura halali zote zilizopigwa.
Soma Pia: Victor Mhagama kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho ni bada ya chama chake (CCM) kumpitisha kuwa mgombea
CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe na mtuhumiwa wa uhaini LissuKhe! Kumbe kulikuwa na uchaguzi mdogo (wa mchongo)