Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Lione nalo hili!CCM inapendwa sana
Maswali magumu sana haya unafaa kutekwa wewe 😎!Mbona hakushinda kwa 97% kama Mwenyekiti wake?
Imebidi nicheke tuuMaswali magumu sana haya unafaa kutekwa wewe 😎!
kwani yule mtoto wa mhagama hakugombea, au nipo nyuma ya muda? au walimkata huko juu?
asante mkuu, haya mambo kwa tz yamekuwa kama upuuz fulan tu ndo maana hata ufuatiliaji unakata.Na kweli uko nyuma ya muda, alikatwa kwa juu na vikao vya juu vya uteuzi mkuu
Zama zinabadilika kweli. Yaani sikujua kama kuna uchaguzi. Ila CCM wana Moyo aisee! DuhKhe! Kumbe kulikuwa na uchaguzi mdogo (wa mchongo)
Kabisa mkuu. Yaani siasa za CCM zimekuwa kero kabisa.asante mkuu, haya mambo kwa tz yamekuwa kama upuuz fulan tu ndo maana hata ufuatiliaji unakata.
Very spiritual! Umeongea ya rohoni si moyoni.huyu mama mshenz eh..mbona kwenye mazishi zungu alimpa uhakika mtoto? kumbe huyu mama hataki watoto wa wengne eh, ndo maana aliuwa watoto wa watu kama kuku.
well done Mh.Lazaro,Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa kupata kura 69002 sawa na ushindi wa asilimia 87 wa kura halali zote zilizopigwa.
Soma Pia: Victor Mhagama kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho ni bada ya chama chake (CCM) kumpitisha kuwa mgombea
Nami nimeshangaa, naamini hata machawa hawakujua kama uchaguzi umefanyika.Khe! Kumbe kulikuwa na uchaguzi mdogo (wa mchongo)
Hakupita kwenye kura za Maonikwani yule mtoto wa mhagama hakugombea, au nipo nyuma ya muda? au walimkata huko juu?
Alishinda, ila uteuzi ndo kapewa huyo Lazaro.Hakupita kwenye kura za Maoni
Mbona hakushinda kwa 97% kama Mwenyekiti wake?