Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu amejiandaa zaidi kuwa mgombea kuliko wenzake

Ndugu zangu watanzania naomba kuuliza swali;
Hivi kuna mtu anaamini upinzani utashinda uchaguzi wa October?
Wagombea wa upinzani wenyewe wanajua hawatashinda ila sasa wafanyeje
 
Unaweza kusema mgombea X ni mzuri wakati huo huo unasema hawaoneshi mipango mkakati?

Je, huo uzuri walionao ni uzuri wa sura au uzuri wa sauti?
 
Mpaka sasa katika watia nia wa upinzani sijaona hata mmoja atakae weza kukitikisa chuma.apite yeyote miongoni mwao lakini hatoweza.
 
Atuambie pia ana mikakati ipi ya kulinda maliasili na vipi yule Twiga wetu aliyemtorosha kwenda Ughaibuni atamrudisha?
 
Labda hata wakipewa nchi nayo wanaweza ibiwa.
Nchi inaibwa zaidi ikiwa mikononi mwa ccm kama tunavyoona miradi ya hovyo, SGR ya njia moja karne ya 21?! Vidaraja vidogo vidogo katikati ya jiji kama Dar, daraja la km 3 likikatiza ziwani, hasara za ATCL zikifichwa, mchanga wa makinikia sasa unapelekwa nje rasmi kwa kibali cha jpm, repoti chafu zaidi ya CAG kuwahi kutolewa, deni la taifa kuzidi trilioni 50, kwa mara ya kwanza, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…