Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Elibariki kinguElibariki Kingu,
Miraji mtaturu,
Ramadhan ighondu,
Nani amekalia jimbo la Lissu hapo.
Ni aliyewahi kuwa miss tz na ni mke wa NyalanduFaraja Kota ni nani?
Utawasikia wanasema ubunge hauna maslahi yoyote, vijana mjiajiri unaweza kujiajiri sio mpaka uwe na mtaji😄😄Kazi ipo aisee ukitoka Bungeni muda wote unatamani urudi huko huko na mkiwa huko mnawaambia vijana wajiajiri umetoka na mtaji bungeni umeshindwa kujiajiri unatamani kurudi huko huko tena..
Wapumbavu sana Hawa ..wakianzaga kuongea hayo mavi yao hua nazima tv.Kazi ipo aisee ukitoka Bungeni muda wote unatamani urudi huko huko na mkiwa huko mnawaambia vijana wajiajiri umetoka na mtaji bungeni umeshindwa kujiajiri unatamani kurudi huko huko tena..
Naye kachukua form? Mbona hajiiti nyarandu tenaNi aliyewahi kuwa miss tz na ni mke wa Nyalandu
Hajiiti Nyalandu mpaka mumewe awe na title tena ya ubunge au uwaziriNaye kachukua form? Mbona hajiiti nyarandu tena
Hiv inawezekan mwenyewe kiti akagombea ubungeElibariki kingu
Mkuu maisha ni mapambano makali ya jasho na damu, kamwe usitegemee huruma hususani kama wewe ni mtoto wa kiume. Ukitia huruma lazima uliwe kichwa.Hahahaha halafu mtu wa hivi utamsikia anasema vijana wajiajiri.
Wameachana kitambo.Naye kachukua form? Mbona hajiiti nyarandu tena