Mie siamini kama Membe ametumwa.Ametumwa, sema wametuma mtu siyo
Membe agekuwa asset kwa upinzani iwapo angesema kuwa ninaondoka CCM kwa vile sijaridhishwa na mambo yanayofanywa na serikali; hivyo, ninakuja huko ili kujenga nguvu. Lakini asubiri asurubiwe na CCM ndiyo akimbilie upinzani, sioni kesho yake yenye maana. Afadhali na Lowasa alikuwa imewekeza muda kwa wafuasi wake lakini sio huyu tuliemsikia jana kuwa ana wafuasi maelfu nyuma yake!Membe ni mgombea wa ACT,labda utuambie Nyalandu ni bora kuliko Lisu hapo utaeleweka.
Sasa hapo unataka ACT wafanyeje,maana wao wamemuona kwao ni mtaji, kuliko wagombea wengine kwenye chama chao.Membe agekuwa asset kwa upinzani iwapo angesema kuwa ninaondoka CCM kwa vile sijaridhishwa na mambo yanayofanywa na serikali; hivyo, ninakuja huko ili kujenga nguvu. Lakini asubiri asurubiwe na CCM ndiyo akimbilie upinzani, sioni kesho yake yenye maana. Afadhali na Lowasa alikuwa imewekeza muda kwa wafuasi wake lakini sio huyu tuliemsikia jana kuwa ana wafuasi maelfu nyuma yake!
Mimi naona ni sawa ccm imewakopesha wapinzani,hapa ndoo nakikubali chama cha CCM,hii ni aibu kwa upinzani,membe ni CCM,nyarandu ni CCM na makufuli ni CCM,miaka 25 wapinzani hawajajiandaa kuandaa watu wao? yaani wasio kuwa na thamani CCM wakija upinzani ndoo wenye thamani,
Membe agekuwa asset kwa upinzani iwapo angesema kuwa ninaondoka CCM kwa vile sijaridhishwa na mambo yanayofanywa na serikali; hivyo, ninakuja huko ili kujenga nguvu. Lakini asubiri asurubiwe na CCM ndiyo akimbilie upinzani, sioni kesho yake yenye maana. Afadhali na Lowasa alikuwa imewekeza muda kwa wafuasi wake lakini sio huyu tuliemsikia jana kuwa ana wafuasi maelfu nyuma yake!
Hakuna kitu kama icho kitu ni coincidence hakuna aliyepanga wala kubuni.Nazidi kupata hofu na ajenda ya ACT wazalendo, kinaweza kuwa kifo cha siasa za Maalim Seif, ni kama kilibuniwa ili kuwa neutralize wapinzani tishio kwa dola.
Wapinzani wa kweli wawe makini.