D
Kuwa mzalendo kwa Taifa lakoLazima mlipe kwa ukatili mlioufanya. Huyo Lazaro he's just a pimp. Wauaji wakubwa nyie, sasa mna tapatapa.
Unamdanganya huyo mazafaka. This is a different ballgame altogether. Mtawala hawezi kuchinja maelfu ya raia wake criminally halafu akachomoka kirahisi.Awamu ya Tano ya JIWE ulifanikiwa kuongea na Maseneta wa Marekani zaidi ya 20, na ukitaka uwakutanishe na JIWE, lakini JIWE akachomoa betri.
Naamini hili linaloendelea kwako ni jepesi Sana kama Mshauri wa Namba 1 katika masuala ya Diplomasia.
Tunakuomba uokoe Taifa katika hili, naamini wale Seneta wa Marekani ni marafiki zako, utazungumza nao na litaisha
Nawasilisha