Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Nimeulizwa swali hili na mchumba wangu ambae kila kitu tayari ikiwa kupelekana kwa wazazi na mahari tayari. Iii imekaaje jmn!
Mmh, ukiona hivyo jua mwenzio hajafika bei, anafanya tu kama fasheni. Mara nyingi ukifika bei sana unatamani ndoa na huyu mtu, ili awe wako na kiheshima zaidi.
Mie siku hizi nalala kwa mganga ili zombie atangaze ndoa unazani masihara?
Hapa mnamchanganya inamaana kunatofauti ya ndoa na harusi......si muuliza swali alitaka kusema ndoa na harusi?ndoa ndo muhim na sio harusi
hahahaha Kongosho usipoteze muda kwa mganga maana badala ya huyo zombie wako kutangaza ndoa ndo atakutenda hebu geukia pande hii ya Yesu Kristo wa Nazareti nakugarantee ndoa yenye furaha
Mmh, ukiona hivyo jua mwenzio hajafika bei, anafanya tu kama fasheni. Mara nyingi ukifika bei sana unatamani ndoa na huyu mtu, ili awe wako na kiheshima zaidi.
Mie siku hizi nalala kwa mganga ili zombie atangaze ndoa unazani masihara?
Mmh, ukiona hivyo jua mwenzio hajafika bei, anafanya tu kama fasheni. Mara nyingi ukifika bei sana unatamani ndoa na huyu mtu, ili awe wako na kiheshima zaidi.
Mie siku hizi nalala kwa mganga ili zombie atangaze ndoa unazani masihara?
Yes kuna utofauti kati ya harusi na ndoa,harusi inaambatana na sherehe wakati ndoa haina sherehe na siku zote cheti kinatoka cha ndoa sio cha harusiHapa mnamchanganya inamaana kunatofauti ya ndoa na harusi......si muuliza swali alitaka kusema ndoa na harusi?
Harusi ya nini zinaongeza gharama ya maisha tu ndoa yatosha hata hivyo cheti kinatoka cha ndoa na siyo cha harusifanya harusiii tu shela kubwa ndo mpango mzima
Harusi ya nini zinaongeza gharama ya maisha tu ndoa yatosha hata hivyo cheti kinatoka cha ndoa na siyo cha harusi
Harusi ya nini zinaongeza gharama ya maisha tu ndoa yatosha hata hivyo cheti kinatoka cha ndoa na siyo cha harusi
Halafu maisha yakiwa magumu unakula mara moja kwa siku hao mashost watakuwepo? mtakapokuwa mnaandamwa na madeni watawasaidia kulipa?mashosti watajuaje bana!!!!!!!!! harusi muhimu tena irushwe kwenye kideo.