Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

kwa kichina zinaitwa 筷子 (kuaizi) pronounced as kΚ°waΜ‚i.tsΙ¨

ukizoea kutumia hivyo unaweza hata ukanywea uji
Hahahaaa Thanks Chief πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Hahah yo funny and adorable at the same time...cheers!!!
Halafu nageuka geuka kiupande kuangalia kama kitumbo kimeongezeka hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…