Lazima kuwepo na Artificial magnetic field, na Artificial ozone layer ili ukoloni wa Mars na sayari nyingine uwe na uhalisia

Lazima kuwepo na Artificial magnetic field, na Artificial ozone layer ili ukoloni wa Mars na sayari nyingine uwe na uhalisia

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Kinachoifanya Dunia viumbe hai waezee kuisha ni kuwepo kwa Magnetic field na Ozone layer

Magnetic field
Jua linatoa miale ya mwanga ambayo inatumika Kama mwanga dunia na inakuja na upepo unaoitwa solar winds, magnetic field inasaidia kudeflect huu upepo unaokuja na miale ya mwanga wa jua. Kama dunia isingekua na magnetic field hakuna kiumbe kingeweza kuishi

Ozone layer
Dunia ina ozone layer ambayo huzalisha oxygen inayotumiwa na viumbe hai, na pia husaidia kupunguza miale ya jua

Artificial magnetic field na Artificial ozone layer
Kunatakiwa itengenezwe hivyo vitu viwili ili maisha yawezekane kwenye sayari nyingine Kama mars
 
Back
Top Bottom