Imetokea mara kibao nikimtokea mnyange nataka kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi tu na sikumwoa nimekuwa napigwa vibuti kutokana na kuweka wazi dhamira yake kwa mrembo. Nilipo kaa na wadau wakaniambia hii gia siku hizi haitumiki ingia kwa gia ya kuoa, basi tokea hapo hii gia inanisaidia kumega ingwa mnyange mwenyewe anajua fika namfunga kamba kuwa sina lengo la kumuoa namega tu na kuachana nae anakubali.
Je wanyange kwanini mnakubali kudangwanywa kirahisi hivyo? Mpaka mtu aingie kwa gia ya ndoa ndo ukubali huku ukijua unadanganywa?
hUO NI ULIMBUKENI WALA SIYO FORMULA;KINACHOTOKEA SIKU HIZI KUOLEWA NI HESHIMA SANA KWA KUWA WADADA WAMEKUWA WENGI MNO NA WANACHANGANYWA SANA HIVYO UKIJA KWA GIA HIYO YEYE ANAONA KUWA KAJIENGUA KWENYE KUNDI LA KUMEGWA SI UMEMWONA IRENE UWOYA ALIPOAMBIWA KUWA ANAOLEWA HAKUJALI KABILA WALA DINI NDO KAMA HAYO KWA HIYO KAMA SHEMEJI YETU ANGEKUWA NA LENGO LAKUMEGA KAMA AKINA H.BABA ANGEMEGWA MPAKA AKILI ZINGEMTOKA
Gia ya kuoa labda ukutane na mtu desperate sana ya kuolewa..Jamani kuolewa ni majaliwa!..Leo nikikwambia Fidel naolewa utajua nimedanganywa?.
kwa nini tunakubali kumegwa kabla ya arusi? kwa nini mnaomba kumega kabla ya arusi?
Mla huliwa yaani kama vile muongo hudanganywa..kama wewe ulivyodanganywa kutengeneza nywele kwa wiki ni 70,000/- ulijisikiaje?
Gia ya kuoa labda ukutane na mtu desperate sana ya kuolewa..Jamani kuolewa ni majaliwa!..Leo nikikwambia Fidel naolewa utajua nimedanganywa?.
Hahahaha haya mpwa lakini angalia Belinda jamaa asimege kabla ya harusi.
MJ1 mke mwema anapatikana kwa Mungu sio hali kadhalika mme mwema anapatikana kwa Mungu kwa nini utende dhambi umegwe kabla ya harusi?
Wewe ukikataa kumegwa mi nitakulazimisha kukumega?
mmmhhh fide na hivyo vitoto vyako unavovichukuaga huko uchochoroni vinakupa shida angalia usifungwe tu miaka 60, maana sioni na utu uzima wangu huuu ambao nishaona waongo kama wewe elfu moja ukaja na gia hiyo ya ndoa na mie nikachachawa, tena bora useme ukweli kuliko kusema kunioa ndo ntakuona muongo kupindukia,Imetokea mara kibao nikimtokea mnyange nataka kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi tu na sikumwoa nimekuwa napigwa vibuti kutokana na kuweka wazi dhamira yake kwa mrembo. Nilipo kaa na wadau wakaniambia hii gia siku hizi haitumiki ingia kwa gia ya kuoa, basi tokea hapo hii gia inanisaidia kumega ingwa mnyange mwenyewe anajua fika namfunga kamba kuwa sina lengo la kumuoa namega tu na kuachana nae anakubali.
Je wanyange kwanini mnakubali kudangwanywa kirahisi hivyo? Mpaka mtu aingie kwa gia ya ndoa ndo ukubali huku ukijua unadanganywa?
mmmhhh fide na hivyo vitoto vyako unavovichukuaga huko uchochoroni vinakupa shida angalia usifungwe tu miaka 60, maana sioni na utu uzima wangu huuu ambao nishaona waongo kama wewe elfu moja ukaja na gia hiyo ya ndoa na mie nikachachawa, tena bora useme ukweli kuliko kusema kunioa ndo ntakuona muongo kupindukia,
so it depends na mazingira ya huyo dada kama alivyosema chaku ni ulimbukeni tuuuu
ndo maana wanaitwa ATM,saccos na mabuzi