Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
sasa mke wa nani??
Mh yupo kitaa wala sina feelings nae tena.Wa aliye mtoa ndio maana hata ipite miaka kumi wakionana anamtanulia someni hata vitabu vya dini maana ya maagano ni ipi?
Mungu mwenyewe anaijua thamani ya bikra ndio maana kasema mshiriki tendo baada ya ndoa NA WOTE MSIWE USED NOTE HILO
ingawa wanawake wamezidi kutumika sana anapitiwa na vidume havina idadi huyo unamuoa NA UNAJIHESABU NINA MKE
UKIONA hivo alikuforce mpaka ukampa kwa maana nyingine alikubakaMh yupo kitaa wala sina feelings nae tena.
Nilisahau mazee, kumbe bado ninayo oossh😛😛😛UKIONA hivo alikuforce mpaka ukampa kwa maana nyingine alikubaka
hahaha vumilia 2 km umependa we oa 2Wa aliye mtoa ndio maana hata ipite miaka kumi wakionana anamtanulia someni hata vitabu vya dini maana ya maagano ni ipi?
Mungu mwenyewe anaijua thamani ya bikra ndio maana kasema mshiriki tendo baada ya ndoa NA WOTE MSIWE USED NOTE HILO
ingawa wanawake wamezidi kutumika sana anapitiwa na vidume havina idadi huyo unamuoa NA UNAJIHESABU NINA MKE
Hana tayari si ameshaandika kuwa kila akizama anakuta imeshatumika?? Mimi ndiye unaweza ukanikaribisha.We unayo? Kama unayo njoo kwangu me ninayo ila kweli uwe nayo
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Naona mko attentive kushuhudia Solar eclipse, UKUTER, miaka 52 na mengine mengi hiyo kesho. Mie akili yangu inawaza CR7 anaanza lini kucheza Maana Ngiri kapiga hat trik majuz, Lione kapiga mawili... Atawapata kweli akirudi????
BASI SAWA..
Haiwezekan kila siku mie ni wa kuambulia MAKOMBO tuuu.. Kila nikizama nakuta used.. Kila nikizama nakuta used... Mpaka lini jamani???
Lazima Namie nipate mtu ambae huko mbeleni akiwa na lijamaa lake awe anasema "Chief ndio alinitoa BK... Namkumbuka sana...Sorry honey najua unajisikia vibaya"
Haiwezekan story za BK naishia kuzisoma JF tuu utadhan Namie sina dudu...
Uwezo ninao.. Niya ninayo.. Vitendea kazi ninavyo... Lazima Namie nimtoe binti wa mtu BK ndipo nitafikiria kuoa...
Enyi wanawake mliomo humu MMU, Kuna mwenye BIKRA???? Help me.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hasira za nini mwa 4 kuwa mpole.Zao wako umtoe.