kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,871 Reaction score 2,762 May 11, 2011 #1 kampuni ya sim ya sim ya mkononi ya tigo kufilisika rasmi july 21
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 May 11, 2011 #2 haaaaaaaaaaa,.... kumbe ndo siri ya kutuibia eh? hebu soma signature yangu,ntakwambia siri ni nini! TiGO ni waizi waizi yaani wanaiba balaaaa
haaaaaaaaaaa,.... kumbe ndo siri ya kutuibia eh? hebu soma signature yangu,ntakwambia siri ni nini! TiGO ni waizi waizi yaani wanaiba balaaaa
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 May 11, 2011 #3 Duh si mchezo baba hako ka jamaa kakifa ushindani utakuwa umekufa maana kalijitahidi sana kushusha bei kumbe ndo kanakufa natural death
Duh si mchezo baba hako ka jamaa kakifa ushindani utakuwa umekufa maana kalijitahidi sana kushusha bei kumbe ndo kanakufa natural death
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 May 11, 2011 #4 Nani amekanunua ??
kingxvi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 879 Reaction score 151 May 11, 2011 #5 ebu tujuze vizuri wateja wao tujue.!
Makaimati JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 462 Reaction score 87 May 11, 2011 #6 kukumdogo said: kampuni ya sim ya sim ya mkononi ya tigo kufilisika rasmi july 21 Click to expand... Kufilisika au kufilisiwa MKUU, tujuvye zaidi.
kukumdogo said: kampuni ya sim ya sim ya mkononi ya tigo kufilisika rasmi july 21 Click to expand... Kufilisika au kufilisiwa MKUU, tujuvye zaidi.
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 May 11, 2011 #7 source pls
C chigwiye JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 352 Reaction score 59 May 11, 2011 #8 wanabadili jina tu jamani,coz hili la sasa limekua na maana nyingi,so linawachanganya wateja