Kuna kamtindo kwamba ukitaka Ubunge kwa haraka (chap chap) ni rahisi ukiwa mgombea wa CCM. Hii inaletea hata wale wenye mtizamo tofauti na CCM, huwa wananunua kadi na kutafuta ugombea Ubunge kupitia CCM (hata kama hawakubaliani na mambo mengi ya CCM).
Swali, ni lazima ? na kwa nini tumefika hapa au kizazi hiki hakijiamini?
Swali, ni lazima ? na kwa nini tumefika hapa au kizazi hiki hakijiamini?