Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Sasa si unajua hata simba kula siku anakula nyasi akikosa….si kila siku anakuepo! anaishi kwao[emoji3][emoji3]
Hahaha zingatia maokoto[emoji1787][emoji1787]
Niko nimeshika remote ya TV kwa Shemeji
Aweee usiniletee habari za popo nishindwe kkutofautisha kama wew ni ndege au mnyama.. sema moja[emoji3][emoji3]
Had nafungua uzi wa ivi si unajua hali yangu[emoji3][emoji3]Tupeane mapenzi tu hela hazipo
[mention]Winnone [/mention] ukiwa karibu hata hiyo puchu nitaacha si upo kipoozeo
Tatizo sina kidudu[emoji16]
Hahaha aya njoo uyachukue hayo mapenzi[emoji2957]
lips si unazo, nyashi unayo? hivo hivo vinatosha kuanzia
Hapa ni mifupa inayotembea hakuna kila kitu ndugu[emoji2][emoji2]
embu tuone😂Hapa ni mifupa inayotembea hakuna kila kitu ndugu[emoji2][emoji2]
embu tuone[emoji23]
Nitaivunja hiyo hyo mi nakula had mifupa
nijaribu uone😃[emoji3][emoji3][emoji3] ulivyo muoga nahis utashindwa kula mishkaki[emoji2]
Sa ukivunja nitabaki na nni jmn au unataka uniondoshe duniani[emoji38][emoji38], hiy mifupo ndo imebaki kunipa support
nijaribu uone[emoji2]
nairambaaa na kuilick haitausha
uliza sasa😂Hahahhaaaa mi nakujua bana... bora hata angekua mwingne, alfuu natamn kukuuliza kitu[emoji2957][emoji847]