Lazy time & Unserious

TANZANIA GDP 2022—75.71Billion

Hii nchi ina hela jamani haya ebu tuone mzunguko wa hela uliopo

75.71 Billion USD
1Usd =2300
75.71 x1000,000,000/= 75,710,000,000

sasa igawanye kwenye hela ya kitanzania
75,710,000,000x 2300
=17,413,300,0,000,000

=174,133,000,000,000/=

Ni sawa na Trilion 174 zinazunguka nchini mwaka mzima.

Afu unakuta kuna mtu hana hata elfu kumi na ni mzima wa viungo na Akili.
Huku ni kumkosea mungu…Tutumie akili kuna hela nyingi sana hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…