TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Source:https://www.youtube.com/watch?v=W27PnUuXR_A
Published on Nov 16, 2015
"La Sape" is a unique movement based in Congo that unites fashion-conscious men who are ready to splurge money they don't really have on designer clothes. Dressing in stark contrast with their surroundings, these elegant ambiance-makers become true local celebrities… but this fame comes at a price.
=====================
What is wrong?
Yaani hawa jamaa ni "shida"....!! Yaani katika clip nzima nimependa teknolojia ya kuoga kwa kutumia mabesini mawili ya plastic kupungunza upotevu wa maji. Nina imani huyo mtoto akisha maliza kuoga hayo maji kwenye beseni alimokaa yanatumiwa tena kwa manufaa mengine...!ha haaa... La Sape... hawa viumbe wa congo sio bure wana matatizo!...watu wanaiba madini yao wao wako bize na suti