Le Mtuz this is Too Low for You

Tatizo hapa nimeona mnaingelea ushabiki wa wema kwa taharifa yenu wema hana iyo hela na hakuwa nayo aliyotoa hiyo hela hakutaka familia yake ijue mana angeingia media bila kupenda na kujikuta kwenye kashfa tuache ushabiki wema hiyo hela hana na hakuwa nayo msimfanye kajala aishi kama mtumwa wakati papuchi yake ndio inamlipa mpaka sasa .
Hata kama ya kuhongwa ni yake pia,,,we unaweza ukahongwa hiyo hela na usiitoe vilevile kumlipia mtu.
 
Utovu naima kwa ahaliyo si tamati ya nadhama kwa hadhira.

Chonjo wajila, afaka fanaka, madaha si karaha, kimelea upingamizi kimbonelea cha wizi, kukosa meno si kukata fizi.

Kiada vipawa shawishi ya shauku, afriti yamkini kukithiri hiana.

naona bangi zimekupanda kichwani
 
Sijui google translate itansaidia.
Afu utakuta wanaongea off topic 😱😱
 
Kajala ni mnafiki!! Akiwa kwenye media anasema yaishe ili aonekane si mshari na mtu mwema!! Lakini ukimkuta sehemu za starehe na shosti zake, matusi na kejeli anazoporomosha kuhusu wema huwezi kuamini..

hapo tusimlaumu yoyote mnajua chanzo cha ugomvi vzurhp ndio Wema alimtolea m 13 lakn sio kigezo cha kumnyanyasa mwenzake na wanawake wanatofautianaga kitu kidogo sana hadi urafki kuvunjika cha msing wapatane tu hapo lazma kila mtu ana mapungufu yake wapatane yaishe kumlaumu kajala au Wema sidhan kama ni right
 
Niliposema funika kombe mwanaharam apite hukujua maana yake? Haya ngoja nikujuze wema hakutoa hiyo hela ya kumkomboa kajala ila wema alisimama kama kivuli tu upo hapo?

Kajala anajua hiyo hela nani kalipa so anajua atendalo sio makusudi.

Kama ni kweli Wema hakutoa hizo hela na kajala alikuwa analifahamu hilo, iweje kajala ajiapize kiasi kile kwenye media kuwa atamuheshimu Wema kama mama yake mzazi maisha yake yote (rejea kipindi cha Mkasi - EATV), na akaenda mbali zaidi mpaka akachora tatoo yenye jina la Wema???
 
Jamani huyu William simuelewi kabisa. Pamoja na kuwa babu, angejaribu kufanya vitu vya maana kuliko kujiingiza kwenye mambo ya kike na kijinga kama haya. Pasipo shaka anaidhalilisha familia ya Malechela. Mtoto mkubwa wa William wa kike ana mtoto mdogo, alijifungua kwa taarifa za wanafamilia. Kwa hiyo William ni babu, lakini hana kabisa chochote kinachoweza kumfanya heshima anayostahili ndani ya jamii

Tabia za william zinasikitisha kidogo. Ni za kike mno. Sijui ntasemaje lakini wasomaji wengi humu watakubaliana na maoni yangu.Kazi yake ni kusifia wanaume wenzake, mara Super Mogul Mara Chaiman, mana Billionea Chicago matelephone. Tabia kama hizi umfanya mtu kuitwa either shoga au mtu wa kujikomba. Sijamuita jina lolote lakini msomaji yeyote anaweza kuamua mwenyewe jina la kumuita. Niseme kwa kifupi kwamba, William anatia aibu. Anaitia CCM haibu, anaitia familia ya Malechela aibu na anawatia wazee aibu


 

Actually huo ndio ushauri aliotoa lemutuz!! Hakuna anayebisha kuwa wema ana mapungufu, alichoshauri lemutuz ni kuwa kama kajala anahisi wema hamtendei haki anapaswa kumuepuka tu lakini sio kwenda kumchafua kwa watu, hivi imagine inafikia kipindi hadi anafungua akaunti feki kwenye mitandao ya kijamii ili kumtukana wema!! Huu ni utahaira
 

majority of the people wanamlaumu kajala kuwa mwenye makosa lakini wote watakuwa wameuziana wanawake wanagombanaga vitu vdogo sana nautakuta Wema alikuwa ana mcontrol mwenzake kwa vile kamtolea hela hapo kila mtu ajishushe wasameheane basi iishe lakin blaming kajala cdhani mana hata Wema ana team yake wanamtukana Kajala
 
Wewe hivyo ndio umeona ni viapo kwa akili zako?
 
Anajifanyaga baba ushauri huyu mxxxxxiiiuuuuu
 
Namkalibisha le mutuz jukwaa la celebrity hizo ndio habari zetu.

Kuhusu siasa haziwezi hawaachie wenyewe.

Karibu jukwaa la celebrity le mutuz

Namkalibisha-namkaribisha√
Hawaachie-awaachiee√
 
Unaoa lini Lemutuz

tumeghairisha shughuri kwa muda maana tulipanga ifanyike uwanja mpya wa taifa ila kamati ya maandalizi imeona uwanja hautatosha bado tunachukuwa maoni kwa wale wanaojuwa wapi tunaweza kuwaweka wageni laki tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…