Le Mutuz amuopoa Zari?

Zari hana Mme zari ni mjane, hawala/bwana yake / ki ben ten/ Mdogo wake diamond waliishaachana.
 
Kumbe Le Mtuz ni billionaire businessman ? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu siku izi sikuoni na mapicha picha ya bandarini.
 
yaani kila nikimuona lemutuz nakumbuka kale kanucta kake[emoji23]
 
mwenyekiti
 
Jamani mbona bi dada hapo rangi yake imefifia sana tofauti na tunayo iona sasa au maji ya tz yamechangia? Mana sasa hata mzungu anasuburi, so kwa rangi ile unaweza dhani ana ulemavu wa ngozi
 
usidhani Sifa acha utoto kubwa jinga wewe miaka 50s una mambo ya shombo hivi!!!
Aisee mkuu ndiloswali lililokuwa kichwani mwangu huyu jamaa ana familia kweli kwa ujinga ujinga anofanya in relation na umri wake mbona huu ni mzigo hata kwa mke
 
[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji125]
 
Zari alimtunzia sana siri le super bilionea[emoji3]
 
Ulikuwa unamlisha bamia tuu mtoto wa watu si ungekuwa unampa hata bilinganya
 
TV na radio station umiliki wewe? Kwa kipi? Hahha

Utaishia kulamba miguu ya wenye hela na utaishi Sana kwenu kima wewe kazi kutukana wabeba boksi wakati we mwenyewe lofa tu...

Utachezewa Sana na watoto Wa kike hapa mjini wakidhani ni same sex wao
Hivi hiyo TV ndo ile ya Yutyubu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…