Le Mutuz anatarajia kufunga ndoa

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
1,192
Reaction score
623
Hii ni kutoka vyanzo vya kuaminika.Baada ya huyu ndugu yetu kuishi maisha ya ubachelor miaka mingi sasa kaamua kufanya kweli.Harusi mapema mwakani

Le Mutuz akiwa na Mbebez wake.Yaani wanapendana hadi wanaumwa kwa mpigo.
 

Attachments

  • 1418533303058.jpg
    17.5 KB · Views: 4,213
Mzee wa kula kulala kwa mama mdogo.....

hahahaha uknw super gadem mburulaz mnahangaika sana na hamjui naendele kuingiza hela! uknw nyumba yangu ya vyumba vitatu nimesha imaliza kabisa na nina andaa party ya kufa mtu uknw...mabebiz wakarez watakuwepo kwenye ufunguz!
Supergadem waswahili hamniwez uknw
hahahaha I like it!
 

Attachments

  • 1418540608330.jpg
    41.8 KB · Views: 1,089
View attachment 210821
bwana harusi enzi za utoto super handsome u know....

hahahaha uknw mabebiz wakarez walianza kunipendaz nikiwa mdogo uknw..ndio maana baba akanipeleka marekani nikakaa miaka 25 ukw nimerudi bado mabebiz superlemtindiz wananipenda ...hakuna mtanzania aliye ishi marekani muda mrefu kama Mimi uknw!
hahahahaha I love it
 
Achana na lemutuz

Leo nimepatwa na upepo wa kupiga kura...



Nishatoka serikali ya mtaa

Nimehamia miss world
 

Hahahahaaaaa kumbe Le Mutuz ndiye mtz aliyeishi marekani muda mrefu kuliko wote?...lol
 
Achana na lemutuz

Leo nimepatwa na upepo wa kupiga kura...




Nishatoka serikali ya mtaa

Nimehamia miss world

hahaha hata Mimi nimesha piga naendelea kupiga kwa Miss world! Note usichague muafrika wala usichague wenye 25,10,50 isipokuwa Happines from tz!
 
Hahahahaaaaa kumbe Le Mutuz ndiye mtz aliyeishi marekani muda mrefu kuliko wote?...lol

hahahaha uknw Mimi ndio mtanzania aliywai kuishi marekani muda mrefu na sijasahau .kiswahili uknw nina shangaa super waswahilizi wakienda marekani miezi miwili wanajifanya wamesahau kiswahili uknw watu kama hawa huwa ni madebe matupuz uknw
hahahahaha I like it!
 

Haha haaaaa kweli Le Mutuz japo ana u know nyingi lakini kiswahili hajakisahau.
 
hahaha hata Mimi nimesha piga naendelea kupiga kwa Miss world! Note usichague muafrika wala usichague wenye 25,10,50 isipokuwa Happines from tz!

Yap

Mie sichagui waliopo katika ubora tayari

Ili kumwekea happy nafasi ya ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…