"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
"AlichikisemaView attachment 2126973
Tujuzane Yakheee auza nini Le Mutuz....Mfanyabiashara huyo maarufu bongo
Lakini dr.wake ni prof.janabi ujue utabakia na majungu yko hayo"Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Broiler spana nkononiLemutuz ana daktari wake.
Amesema mitandao sio mitindo."Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitindo..."
Naomba kujua anafanya biashara zipi mpaka awe maarufu kwa hizo. Na mitindo anafanyia wapi
Tena wakawa wanamcheka eti mama yake anaishi kwenye nyumba mbaya!Kuna watu wanamfatilia sana le mutuz kutwa kujigeuza mahakimu wa maisha yake mbona kwenye misba wa mama yake hawakuuliza kwann ndugu zake wengine hawakwenda kumsaidia.
Jamaa kaumwa sana mwili wote umeporomoka ila hawaoni wanachotaka afanye wakitakacho wao aiseee
Prof Janabi... Mkurugenzi wa JKHI [emoji23][emoji23]Lemutuz ana daktari wake.
Watu wengi wapo free sana mkuu na hii ndio main reason ya kujadili vitu vya aina hiyo.Hayo ni mambo yao ya kifamilia.
Kwa nini watu wanajali sana? Yanawahusu?
Angeenda, asingeenda, kwangu haijalishi hata kidogo!
Hata mimi nilishangaa sana kumuona pale kwenye mjengo wake wa kifahari karibia na mnazi mmoja wakati shughuli ikiendelea.King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake Haikumruhusu baada ya kuwasiliana na dr wake.
Mfanyabiashara huyo maarufu bongo na mwanamitandao amesikitishwa kwa maneno ambayo yamekuwa yakizunguka kumhusu yeye kutokushiriki Mazishi hayo ya Dada yake.
"AlichikisemaView attachment 2126973
Kama vile umecheka kinafki!? Ila huo ndio ukweli wiki moja kabla ya huu msiba alikuwa amelazwa pale jkci inawezekana ni kweli bado hajakaa sawa kiafya.Prof Janabi... Mkurugenzi wa JKHI [emoji23][emoji23]