William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
unabii wetu umetumia kama alifanya kwa kutokujua pole ulimbukeni pia pole ,nilimwambia hizi picha zitakukost kama unataka kuwa mwansiasa.wana JF TULIMWAMBIA AKAJIBU NYODO
inawezekana hiiLabda ana mid life crisis
au labda anajua anachokifanya,
na sisi bado hatujamuelewa
He must have a very serious psychosocial problem which he is trying to hide or fight against social prejudice. Who is certain about his sexual orientation???? This is a very deviant behavior for someone wishing to be leader in this society.
unabii wetu umetumia kama alifanya kwa kutokujua pole ulimbukeni pia pole ,nilimwambia hizi picha zitakukost kama unataka kuwa mwansiasa.wana JF TULIMWAMBIA AKAJIBU NYODO
WJM ni celebrity wa aina yake hata humu JF. Isiwe nongwa anapokutana na celebrities wenzake wa hapa Bongo ikizingatiwa pia kakaa nje muda mrefu ana kiu na WATANZANIA wenzake. Sidhani kama anakwenda mbali zaidi ya hapo tunapomwona. Hata umbo lake halimpi nafasi hiyo!
anajua staili nzuri anamwinamia mwanamke vizuri kweli kweliWilliam Malecela juzi alipowatembelea wabunge wanaopenda Simba kwenye vyumba vyao vya kuvalia Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo wao wa Jumamosi; juu ni Mh. Zitto na chini ni Mheshimiwa Neema Himid!!
Hapa ndipo ninapomgwaya WJM. Lowasa na Mzee JSM maji na mafuta.MGOMBEA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI WILLIAM MALECLEA AKIWA NA MH. LOWASSA KATIKA HARAKATI ZA KAMPENI YAKE...!!!
anajua staili nzuri anamwinamia mwanamke vizuri kweli kweli
Samahani kwa usumbufu, wewe ni KE au ME??Yani wewe sawa na jina lako
MKUU SIO MAA-ALBINO UNAONEKANA HUJAKOMAA AKILI WANAITWA WENYE ULEMAVU WA NGOZI TUMIA LUGHA NZURI KIDOGO.sasa mbona huandiki lemutuz big show @ new york,unaandika FACE BOOK.ushafulia tena maneno yote kwishaaaaaa .JIBU TUHUMA HIZO wacha kutuzuga kila siku na fundrising hapa MAPICHA CHAFU HUKO SITULIKUAMBIA UTAJIAIBISHA UKATUJIBU NYODO OUNA WAJANJA WASHAKUZIDI KETE WALIZITOA HUKUHUKU JF ULIKOKUWA UNATURINGISHIA NA TOTOZ ama kweli paka kipofu hula panya waliokufa .William J. Malecela
‎@ W'S EXPERIENCE: MY PEOPLE PLEASE, ENOUGH MESSAGES NA SIM ZA KUHUSU SOME GAZETI AMANI SOMETHING I HAVE NO CLUE, I MEAN I GOT A LOT OF IMPORTANT THINGS TO DO, JUZI TUMEFANYA A GREAT FUNDRAISING YA WATOTO WA YATIMA DODOMA NA SASA TUNAJARIBU KUFANYA ANOTHER ONE KWA AJILI YA MFUKO MAALUM KUSAIDIA WATOTO WA MAA-ALBINO!!
MKUU SIO MAA-ALBINO UNAONEKANA HUJAKOMAA AKILI WANAITWA WENYE ULEMAVU WA NGOZI TUMIA LUGHA NZURI KIDOGO.sasa mbona huandiki lemutuz big show @ new york,unaandika FACE BOOK.ushafulia tena maneno yote kwishaaaaaa .JIBU TUHUMA HIZO wacha kutuzuga kila siku na fundrising hapa MAPICHA CHAFU HUKO SITULIKUAMBIA UTAJIAIBISHA UKATUJIBU NYODO OUNA WAJANJA WASHAKUZIDI KETE WALIZITOA HUKUHUKU JF ULIKOKUWA UNATURINGISHIA NA TOTOZ ama kweli paka kipofu hula panya waliokufa .
ha ha haaa. Le mutuz, juzi kwenye thread yako kila post ulijaribu kuijibu, leo hii wamekushika pabaya, kiiimyaaa!
Nyerere keshawahi kusema , hatuhitaji viongozi wahuni wahuni, huna sifa za kuwa kiongozi wewe zaidi ya kufuata mkumbo kisa baba yako alikuwa kiongozi!