mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
ulienda kuwakilisha au kumsindikiza mjukuu wako lulu?
- Guys mimi ndiye THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sasa nipo Lagos/Nigeria baada ya kuchaguliwa na DSTV kuja kuiwakilisha kwenye "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" infact nipo na Lulu huku na hizi picha ni leo baada ya kushinda hapa kwenye hotel ya Eko Hotel downtown Lagos.
- Mimi ni the Kingkwa sababu ni mimi peke yangu as a blogger ninayefanya Social Media bila kufungamana na kazi nyingine kama Radio au TV, wengine wote wanafungamana na hivyo vyombo mimi peke yangu ndiye sina Radio wala TV lakini ngoma nzito sana ndio maana nimeletwa na DSTV Lagos na nikitoka hapa Jumatatu naruka tena Dubai on Emirates Airlines, i hope nimekusaidia!!
- Halafu tizama sichezi sinema wala sipigi muziki, lakini likitajwa jina langu tu page 10 mpaka 20 viewers 40,000 comments 3000 sasa kama sio King wa Social Media ni nini jamani? hahahahahahah
le Mutuz @Lagos
Humkumbuki? si yule ambaye wakati Wanafunzi wapo kwenye BASH yao yeye akawa amesimama katikati.Le Mututuz ni nani?
- Kumbe hela zina umri ukifikia umri fulani hutakiwi kutafuta pesa? hahahahahahahah
wewe le mutuz aka kichwa maji kwa nini unajiita king of all social media wakati hauna hizo sifa...NIPE FACT ACHA KUZUNGUKA MBUYU..kuna wakali wengi sana na wamekuacha mbali sana na wapo kimya kabisa.. wewe hata kwenye blog 15 bora(zenye views wengi) tanzania huingii... hizi ni blog kadhaa zilizokuacha mbali sana.. 1.MPEKUZIHURU(hayuko kwenye media) 2.ISSAMICHUZI(hayuko kwenye media) 3. MILLARD AYO 4.BONGO5
- Hii ni jana at Batazzzz batannn na le mbebez wewe piga kelele sisi tunakula batazzz
le Mutuz
jibu mashitaka acha kuzunguka- Ndio kwanza nimetoka Lagos na Dubai kuwakilisha Social MEdia so relax boss hahahahahahah
le Mutuz
jibu mashitaka acha kuzunguka
teh teh lemutuz wewe ni janja pori tuu but ipo siku mchele na makapi vitajitenga wewe mwenyewe unaelewa...nasikia airtel walikuona ni mbabaishaji hauna la maana wakakupiga chini, also d.r mwaka kakupiga chini... teh teh niendeleeeee...- hahahahahahaha kumbe ni mahakamani labda ungewauliza DSTV na Emirates kwa nini wamewaacha mabingwa wako wakanichagua mimi labda ndio utapata jibu au? hahahahahahahah
le Mutuz
teh teh lemutuz wewe ni janja pori tuu but ipo siku mchele na makapi vitajitenga wewe mwenyewe unaelewa...nasikia airtel walikuona ni mbabaishaji hauna la maana wakakupiga chini, also d.r mwaka kakupiga chini... teh teh niendeleeeee...
hahahah lemutuz pressure inapanda pressure inashuka tulia bwana mkuuuuu usiogopeee sasa mbona airtel na d.r mwaka wamekupiga chini ..haha mkuu mie sio blogger ni muuza mitumba hapa soko la karume but nipo active sana kwenye social network.. pia sio kweli airtel hawajajitoa kwenye social network mbona millardayo, michuzi, na jamiiforums wanatangaza bado na mikataba inasomeka-
- Hii ndio ofisi yangu sasa baada ya ukarabati nikiwa Lagos na Dubai, Airtel ulikuwa ni mkataba wa miaka 2 umeisha wameamua kuachana na Social Media, Dr. Mwaka ndio kwanza tumeingia mkataba mpya nimeanza kumtangaza tena jana angalia kwenye my instagram, ni kawaida ya wajinga kuzusha zusha umbeya na majungu kwa watu kama mimi tunaopiga kazi, pole sana I can tell kwamba you are a blogger una wivu chuki na hasira maana una blog haina tangazo hata moja,
- Niulize DSTV na Emirates wamenilipa ngapi safari za Lagos na Dubai, hahahahahahaha pole sana siku utakapojua ukweli kuhusu my business hutalala utalia sana hapa JF
le Mutuz
hahahah lemutuz pressure inapanda pressure inashuka tulia bwana mkuuuuu usiogopeee sasa mbona airtel na d.r mwaka wamekupiga chini ..haha mkuu mie sio blogger ni muuza mitumba hapa soko la karume but nipo active sana kwenye social network.. pia sio kweli airtel hawajajitoa kwenye social network mbona millardayo, michuzi wanatangaza bado na mikataba inasomeka
View attachment 330017 mama na mwanawe billionaire mdananda lemutuz nyumbani kwao tunduma.
mbona hyo ofis n kama pale Lumumba na hayo mabango ya Magu n ya nn??-
- Hii ndio ofisi yangu sasa baada ya ukarabati nikiwa Lagos na Dubai, Airtel ulikuwa ni mkataba wa miaka 2 umeisha wameamua kuachana na Social Media, Dr. Mwaka ndio kwanza tumeingia mkataba mpya nimeanza kumtangaza tena jana angalia kwenye my instagram, ni kawaida ya wajinga kuzusha zusha umbeya na majungu kwa watu kama mimi tunaopiga kazi, pole sana I can tell kwamba you are a blogger una wivu chuki na hasira maana una blog haina tangazo hata moja,
- Niulize DSTV na Emirates wamenilipa ngapi safari za Lagos na Dubai, hahahahahahaha pole sana siku utakapojua ukweli kuhusu my business hutalala utalia sana hapa JF
le Mutuz
lemutuz aka jibaba.. wanajamiiforums aka great thinkers wanataka uwajuze je hicho cheo cha u-king of all social network ni nani kakupa??je unatambulika kiserikali wewe ndio king??je ni mamlaka ipi inayotambulika kiserikali ilikupa hicho cheo??je walikupa kwa vigezo gan???au ulijipa mwenyewe tuu ... hakuna mtu mwenye ugomvi na wewe ni hoja iliyoletwa na member mwenzetu...please kua straight forward usizunguke zunguke..@lemutuz-
- Hii ndio ofisi yangu sasa baada ya ukarabati nikiwa Lagos na Dubai, Airtel ulikuwa ni mkataba wa miaka 2 umeisha wameamua kuachana na Social Media, Dr. Mwaka ndio kwanza tumeingia mkataba mpya nimeanza kumtangaza tena jana angalia kwenye my instagram, ni kawaida ya wajinga kuzusha zusha umbeya na majungu kwa watu kama mimi tunaopiga kazi, pole sana I can tell kwamba you are a blogger una wivu chuki na hasira maana una blog haina tangazo hata moja,
- Niulize DSTV na Emirates wamenilipa ngapi safari za Lagos na Dubai, hahahahahahaha pole sana siku utakapojua ukweli kuhusu my business hutalala utalia sana hapa JF
le Mutuz
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.
Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
unajua kuna watuu hapa JF wanafurahisha..Ni Ivi Mi personal najua Lemutuzi coz ameishi nyumbaa moja Na Mtoto Wa ma mkubwa yaani mama ake Wa kkambo yule mnyakyusa mama wao akina Ippy mwele mwendwaa..alikuwa kaka Wa Uncle wanguu Mwaipopo Wa Ghana Mbeya so mnaomjua mtajua namuongelea Tully..ambaye alichukuluwa Na shangazi..kwa kifupi mama yangu mkubwa aliolewa Na kaka Wa Mme Wa Malecela...ambaye alizaa hapoo watoto..Me mutuz kwa mama mwingine..point yangu hapa sioo kutaka kuongeaa nisichokijuaa..kama wengine..mnaomsakama huyoo lemutuz..mtasubiri saana Nimeona hapa eti Jamaa hana Ofisi..jamani ebu tuache kuchekesha..Mali tu za Baba Ake wakisema wagawane au alizogawiwa Ni zaidi ya ujuavyo..Mtoto wa aliyewai kuwa waziri Mkuu.Balozi nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza..kada Wa chama karibu Maisha yakee yoote
.msomi aliyebobea mpaka kuwavika kofia Akina Nyerere..iyoo familia Ogopa Saana..Nimesema yasiyohusiana hapa ili kukomesha Udhalilishaji..Eti Hana Ofisi haa Haa ndo maana huwa unasema habishanagi Na Mbululazii...hata asipofanya kazi huyoo sijui ajiite king of All social Network is just doing fun...kama MTU humjuii usimdhalilishe
Ndorobo wewe acha upambe na kujipendekeza sk unataka lemutuz alete posa kwenu au?
mkuu kidogo unatoka nje ya mada, mada inasema je lemutuz ni king of all social media in tanzania kwa kua unamjua tupe jibu je unadhani ni kweli au uongo?????unajua kuna watuu hapa JF wanafurahisha..Ni Ivi Mi personal najua Lemutuzi coz ameishi nyumbaa moja Na Mtoto Wa ma mkubwa yaani mama ake Wa kkambo yule mnyakyusa mama wao akina Ippy mwele mwendwaa..alikuwa kaka Wa Uncle wanguu Mwaipopo Wa Ghana Mbeya so mnaomjua mtajua namuongelea Tully..ambaye alichukuluwa Na shangazi..kwa kifupi mama yangu mkubwa aliolewa Na kaka Wa Mme Wa Malecela...ambaye alizaa hapoo watoto..Me mutuz kwa mama mwingine..point yangu hapa sioo kutaka kuongeaa nisichokijuaa..kama wengine..mnaomsakama huyoo lemutuz..mtasubiri saana Nimeona hapa eti Jamaa hana Ofisi..jamani ebu tuache kuchekesha..Mali tu za Baba Ake wakisema wagawane au alizogawiwa Ni zaidi ya ujuavyo..Mtoto wa aliyewai kuwa waziri Mkuu.Balozi nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza..kada Wa chama karibu Maisha yakee yoote

..you know!!