Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Kuna siku Lemutuz kule Insta Alisema: IN CAPITALISM EVERYTHING MEANS BIZNES! Kiukwel baada ya hapo nilimuelewa na kunifumbua kitu!! Thnx The King! Nina Picha Yako Kwenye Gar Langu. Mungu Akupe Maisha Marefu!
 
Kubwa jinga Sasa linaishi nyumbani Kwa Lugumi limekula Tenda ya kumtetea kwenye mitandao.
 
Kubwa jinga.. umri wa kustaafu bado analeta upuuzi na upambe kwa wanaume wenzake! Aibuuu!
 
Nimemsikia huyu Mzalendo akimlalamikia binti fulani kuwa anamwandama. Ilikuwa mwishoni , hivyo huyo binti sikumsikia jina. Amemsema kuwa anaandika nonsense, tena akakoleza kuwa ana attack serikali na ameachiwa afanye anavyotaka. Anasema ameishi USA miaka 25 na Sweden miaka 5. Amesema ana blog ya MWANANCHI! Huyu ni nani na wasifu wake ni upi?
 
Lemutuz, ngoja waje watu wa Facebook, tweeter, instagram, n.k. watatuambia tu usiwe na wasiwasi
 
Mange Kimbambi..Lemutuzz
 
huyu ni kibopa flan hapa mjini amazing, ana pesa chafu, anakula serena lunch dinner anakula southen sun, yeye ni mtu wa viwanja hatari kabisa. muache huyu ale maisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…