Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

Wanasema mbwa wa mfalme na yeye mfalme kwenye mbwa wenzie....
kua na Diplomatic pasport ndio nini? Hashuo tuu na majisifu yasokua na mipaka mnajisifia mpaka mnaharibu,kwanza mwenye nazo hasemi wala hatangazi ULIMBUKENI HUO...........
 
Hahaha Ungejua hakuna anaye mchukia Lemutuz wala usinge poteza muda wako kuandika yote hay a!
hahahahahah I like it!
 
le baharia nina Id nyingi humu jf you know.hahaha!kutoka new York had I sea view sebleni kwa dad..am a superstar
 
Huyo mleta uzi kakurupuka tu ,huyo David Mosha,Matelephone, Juma Pinto wamekua ushuani?Maana hao Le Mutuz anakuwa nao muda mwingi.

kwanza huyo lemutuz wao si ajabu hata mshua wake kamchukua ukubwan maana wagogo hua wanazaaga tu pia ana mdogo wake yupo dodoma yeye kidogo afazal ingawa kila alipokua anasoma hamalizi.
 
Did u just say he is STILL a rich KID .. A kid like seriously more than 40 years old unamuita a rich kid ..

This is madness ... My people need me aim out here ... kwaheri. . Dah
Nimesahau naongea na vilaza. ..Rich Kid is just a word used for kids who grew up stupid rich you go get your facts nicca...
I forgot iam talking to people who have little exposure Gadamntt
 
Vilaza wa bongo bwana...kwani mtu aki sema
That's a Baaaaad bitch or a baaaaad car
Inamaana ni dem mbaya or gari mbaya ...
Nimeandika nilijua naongea na watu wanaoelewa nachozungumza. ..m menu furah Isha
Mnatafsili lugha kama ulivyo...Duh kazi ipo
 
Wanasema mbwa wa mfalme na yeye mfalme kwenye mbwa wenzie....
kua na Diplomatic pasport ndio nini? Hashuo tuu na majisifu yasokua na mipaka mnajisifia mpaka mnaharibu,kwanza mwenye nazo hasemi wala hatangazi ULIMBUKENI HUO...........

weka passport yako ya kijani halafu kaombe
ya diplomatic hau travel nayo ndo utajua the difference then maybe you will shut up before kulopoka lopoka
 
Ndio na dem wako kanituma
Mburula wewe...hakuna mtu mwenye uwezo Wa kunituma humu JF

Achana nao my dear...tupo tunaompenda na kumuelewa Le Mutuz mtu wa watu....hawana lolote ni wivu tu unawasumbua...
 
weka passport yako ya kijani halafu kaombe
ya diplomatic hau travel nayo ndo utajua the difference then maybe you will shut up before kulopoka lopoka
ndio wala wale, sio kulopoka KUROPOKA..... Umeiona hiyo pasport inamaana sana eeh? ndio inakupa hela au tkt au kwa sababu ya visa ndio mana unaiyona inamana? wacha kuongea kama umelala wewe Visa kama unavyo vigezo unapata mshazowea kubebwa na akili za kushikiwa ebu tuondole pumba zako.............
 
Unatuita wala vumbi kwa kuwa upo mbefele sio, haina hata kwere, kula raha ila usibeze homie wako bz am sure ndugu zako wengine wako hapa hapa kwa Nyerere, tena usikute wanasota mbaya kabisa.

Wewe umeshamaliza kuogesha vibabu vya kizungu?

Kuogesha vibabu na vibibi na kukwangua ukoko masufuria ndio kula raha?

Mtimti na winnie227 wote nyie ni wale wale, hiko babu lingekuwa bilionea mtafuta pesa lingepata wap mda wa kutafuta madada apige nao picha. Embu nambie Aunty Ezekiel alisoma naye au aliishi naye wap b4?

Wala vumbi msiwe na hasira sana na waliofanikiwa kimaisha au waliopiga hatua kimaisha.
Wengi wenu mnaishi kwa shemeji zenu halafu mnajifanya mnaongea mbooovu, wengi wenu kwanza hata maisha hamjui ni kitu gani, mmekalia kutoa maneno machafu na ya kukatisha tamaa watu wkt nyie maskini ya mungu hamna mbele wala nyuma.
sasa mnabisha kuwa hamli vumbi? Hehehe. ..dada zenu kabla ya kupika wali ule mchele mbona wanautoa mawe? 😂😂😂
 
Nimesahau naongea na vilaza. ..Rich Kid is just a word used for kids who grew up stupid rich you go get your facts nicca...
I forgot iam talking to people who have little exposure Gadamntt

Kama unataka ku post kwa lugha ya malkia please do us a favor and learn the language.... huwezi ukanambia le-mutuz hes a kid ... umeweka neno "STILL A KID " now let me give you a proper def.

WHO IS A KID -

Biologically, a child (plural: children) is generally a human between the stages of birth and puberty. The legal definition of child generally refers to a minor, otherwise known as a person younger than the age of majority.

NOTE - RED & BALDED ..

NOW go back to your little hole and Learn the languge first .. you piece of shi.t..


 
Watt wanaojiita wakishua bana.. sasa sisi passport yake ya nn? Sie wala hatumchukii le mutuz ila umri wake hauendani na matendo yake.. mambo ya passport sijui nn peleka kuleeeee
 
Me mutuz is a trust fund baby .future tape iPo secure .wewe endelea kubishana utalala nje. Le mutuz ananyumba NY haya
 
Wewe umeshamaliza kuogesha vibabu vya kizungu?

600 dollar a week wewe mla vumbi vipi.soli inaisha kitambaa cha kufutia jasho kinachanika na ugali na maji ya chumvi .nywele za pilipili Kama inzi .marekani hata fagia barabara hukosi 300 kwa week .Endelea kufutia jasho na macho yako ya njano au mekundu hulali kuwaza
 
Achana na wala kisamvu cha chumvi na ugali chukuchuku Hao plus vumbi wamefuliaaaa
 
kwanza huyo lemutuz wao si ajabu hata mshua wake kamchukua ukubwan maana wagogo hua wanazaaga tu pia ana mdogo wake yupo dodoma yeye kidogo afazal ingawa kila alipokua anasoma hamalizi.
New York kijiji Chaka au.Wewe fanya research sio unamsema VIBAYA mtoto wa watu .amekua baba ake executive .Mama ake miss Tanzania alikuwa pretty woman .Haukumbuki ajali Ile malecela alupoteza family .Lemutuz na sibling waliobakia ndio roho ya mzee malecela wewe .watu mmesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…