Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

Sihitaji kubishana na boya,nyumba yake na pesa zake hazina tija na mimi,drama zake zinakera!Alafu tabia ya kudharau wazawa na wala vitumbua ni mbaya sana ikizingatia utoto wako wote umekula vitumbua,na umeacha ndugu zako wote huku wanashindia vitumbua na kashata!Le mburulazii mazafanta!
 
. Aisee wewe sio mbongo ni muamerika?
 
Ngoja wauza mkaa na watoto waliozoea mdundiko na wanywa chai ya iliki na Vitumbua na desert mabungo waamke utakoma .

Natalia huyo anajitutumua tu mwishowe kuombana michango ya kusafirisha mwili wa marehemu, unajua unayemsifia alishasema hela za matamasha ya instagram ndio analipia ada za watoto wake hupo mlipo.Mbona tunamjua sibling wake kama dr Mwele,umeshawahi kumsikia mtu anamkashifu huyo mama.Jiulize kwanini ? Anajielewa na nimemtaja huyo kwa kuwa yupo kitengo kikubwa na pia mdogo wa huyo umsifiaye anayeshobokea watoto waliokulia uswahilini wakina Pinto, Matelephone na vijijini waakina Davis Mosha.
 
?????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahaha Ungejua hakuna anaye mchukia Lemutuz wala usinge poteza muda wako kuandika yote hay a!
hahahahahah I like it!

Binafsi nilikuwa napenda sana uwepo wake kwenye ulimwengu wa mitandao ila toka ajifanye kumtetea Mtoto wa Babu wa Taifa ahaaaa Nimemshusha Daraja kwa kweli !
 
Aiseeee Mungu turehemu
 
Kwa comment hii, we ni maskini wa kutupwa.
 
Haya, na ame-travel na Diplomatic Passport mpaka ukubwani, Mpo hapo?

So what........................?
 
Winnie227

- Hamna haters hapa kuna admires tu na big fans, mtu anayechukiwa huwezi kupata page 10 hapa only anayependwa U know hahahahaha and I love it

Le Big Show
 
Last edited by a moderator:
Winnie227
Sio kwamba umedhamiria kusema men are haters bali wewe ni fan wa le mutuz sasa ina kupain ukisikia watu wanamponda.
 
Last edited by a moderator:
- Hamna haters hapa kuna admires tu na big fans, mtu anayechukiwa huwezi kupata page 10 hapa only anayependwa U know hahahahaha and I love it

Le Big Show

Gademu Le mazafantaz madebe matupu King mwenyewe ameshajibu hakuna haterz tulikwambia ukabisha
 
Sio kwamba umedhamiria kusema men are haters bali wewe ni fan wa le mutuz sasa ina kupain ukisikia watu wanamponda.

- Hivi ni haters gani nikikutana nao uso kwa uso wananifuata kuomba picha na wanajisema wenyewe nakujua from JF? hamna haters hapa all ni big fans U know!!

Le Big Show
 
- Hivi ni haters gani nikikutana nao uso kwa uso wananifuata kuomba picha na wanajisema wenyewe nakujua from JF? hamna haters hapa all ni big fans U know!!

Le Big Show

Hatukuombei mabaya lakini ngoja yule mzee avute ndio utaona rangi zote za mama wa kufikia!badala ya kuweka mambo sawa unapoteza muda na uzee ulionao. Labda kama umeandikwa katika WILL ya mzee!
 
Waacheni mi nawajua hao, Wabongo wa ughaibuni wana msongo wa mawazo, pesa wanaipata kwa tabu sana hawalali, muda wa kupumzika hawana, waacheni tu waropoke wakipata vilikizo vyao watakuja kula vitumbua kwao
 
- Hivi ni haters gani nikikutana nao uso kwa uso wananifuata kuomba picha na wanajisema wenyewe nakujua from JF? hamna haters hapa all ni big fans U know!!

Le Big Show
Hahahaha wacha kujipa macredit brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…