- Hamna haters hapa kuna admires tu na big fans, mtu anayechukiwa huwezi kupata page 10 hapa only anayependwa U know hahahahaha and I love it
Le Big Show
Hakuna anaye mchukia mwenzake humu ni utanizzz na kuongezazzzz sikuzzz za kuishizzz u know,ahahahahahaaaaaaa life goes on.
Hahahahah watanzania bwana!
Le mutuz haters are mostly from men and a few chicks who just hate.
Wanaume ni vile viuno anavyoshika Le Mutuz na ma bebez inawakula moyo na mnatamani kufa, sikia huyu jamaa ni wa kishua hata mseme nini huo ndo ukweli.
Or let me put it this way, he still is this rich kid that grew up in a well off family of once a Prime Minister of United Republic of Tanzania.
Haya, na ame-travel na Diplomatic Passport mpaka ukubwani, Mpo hapo?
Watu wengi anaouza nao sura ni watu either kakua nao uzunguni au alisoma nao ushuani. Come on guys his dad was a Prime minister, It Was a big deal!
Haya, kuhusu kubeba Box, Me Nilidhani watu wenye akili timamu wangemsifia kwamba jamaa kuwa na mali zote home na bata la baba Waziri Mkuu he still left all that and went to live independently and hard working life in the US na kula kwa jasho lake kama mwanaume, lakini kwa sababu Watanzania tumezoea ufisadi na wengi tumecrame mtoto wa Waziri hawezi fanya kazi kama zile basi mnamtukana!
Mimi ndio sipendi baadhi ya sifa anazofanya especially na hawa bongo celebrities, simply because of the status of his family and his Dad, to me he can do much better ila that's just my opinion cause mwisho wa siku mtu hachaguliwi maisha.
Sihitaji kubishana na boya,nyumba yake na pesa zake hazina tija na mimi,drama zake zinakera!Alafu tabia ya kudharau wazawa na wala vitumbua ni mbaya sana ikizingatia utoto wako wote umekula vitumbua,na umeacha ndugu zako wote huku wanashindia vitumbua na kashata!Le mburulazii mazafanta!
Infant!oh no, foetus!Hahahahaha jf raha sana sasa kama yeye ni kid na mimi nijiitejee
Wewe ni pimbi tu,hamna mtu anamchukia Le mutuz bali tunachukia upuuzi anaofanya kama kutetea ufisadi kusema tunamchukia kisa ma babez ni utahila sababu mwisho wa viuno ni kuukwaa na hatokufa nasi kamwe!!
- Well nipo Vacation Arusha at Nduruma Farm, ninapumzika na kupanda farasi tu mpaka baada ya New Year ndio nitarudi bongo then we can square with this never ending kwikwizz U know unamchukia mtu ambaye humpunguzii anything, ukisema ninamchukia ndio maana hawezi kupata pesa I can understand that, lakini unamchukia mtu ana Degree 3 wewe huna hata moja, Mutu anaishi downtown bongo wewe unaishi Shimo la Udongo U know sasa hata viwanja anavyokwenda huwezi, halafu unasema namchukia Le Big Show saa hizi nipo Ariusha nakula batazzz wewe unalia lia mitandaoni hahahahahaha sema unajichukia mwenyewe, wewer huwezi kunichukia cause hatufanani mimi nina maakili mengi sana wewe huna so back off U know hahahahahaha
Le Mutuz Arusha One!!
Mweee!!Karibu,nyumbani ni nyumbani!Asante sana hivi unakunywaga nini wewe?agiza bili yote kwangu.umenifurahisha sana.unajua sio siri wabeba box wengi wakiwa na wazawa wanapenda kujifanya maisha bora wakati mazafanta wanashindia MacDo na soda au KFC hawana hata uwezo wa kwenda club kama wabongo,wanatumia simu za kawaida sanaaaa hata wabongo wanawashinda.kwa mwaka wananunua nguo kwa msimu in short wanaishi maisha ya kinabii kama kwenye biblia ya "Ikawa asubuhi,ikawa jioni siku ikaisha."Ila kelele nyingiiii na geto moja wanakaa hata watu 8 ili mradi tafrani tupu bora bongo unakodi nyumba nzima yaani acheni tu.Wananunua magari yaliopata ajali kwa majina ya watu wengine wanafix kidogo ndo wanasumbua mjini.wakikutana na polisi hizo mbio zake sasaaa?maana wakikamatwa tu ni deportation inawahusu mfyuuuu ngoja nijirudie zangu bongo nikavune mihogo mie mxieeeewww
- Well nipo Vacation Arusha at Nduruma Farm, ninapumzika na kupanda farasi tu mpaka baada ya New Year ndio nitarudi bongo then we can square with this never ending kwikwizz U know unamchukia mtu ambaye humpunguzii anything, ukisema ninamchukia ndio maana hawezi kupata pesa I can understand that, lakini unamchukia mtu ana Degree 3 wewe huna hata moja, Mutu anaishi downtown bongo wewe unaishi Shimo la Udongo U know sasa hata viwanja anavyokwenda huwezi, halafu unasema namchukia Le Big Show saa hizi nipo Ariusha nakula batazzz wewe unalia lia mitandaoni hahahahahaha sema unajichukia mwenyewe, wewer huwezi kunichukia cause hatufanani mimi nina maakili mengi sana wewe huna so back off U know hahahahahaha
Le Mutuz Arusha One!!
Hata mimi nakubali haters wengi ni wanaume kuliko wanawake, we angalia hata aliyefungua thread maalum ya kumsema vibaya jamaa ni mwanaume. Mi nafikiri hapa JF kuna wanaume wengine wameweka ID za kike kwavile mambo na maneno yao humu hayafanani na mwanaume mwenye akili za kawaida.
Halafu huyu jamaa sijui kwanini anawanyima usingizi! Matusi na kejeli zote, lakini Le Mutuz katulia anawajibu poa tu, kwanini hamumwachi jamaa aishi maisha yake?
- Duh kumbe humu JF kuna watu genius U know, salute mamen hahahahahaha achana na le mburulazzz hawa U know
Le Mutuz