Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Mimi ni shabiki wako mkubwa sana na pia ni role model wangu ktk maisha ya kujitegemea japo wewe mwenzangu una msaada wa wazazitofauti na mimi sina wazazi .
Ila kuna kitu sikipendi japo si kibaya ila ni hatari kwako ni tabia yako ya kupost kila kitu ktk maisha yako ya kila siku instagram na pia kupost maisha yako binafsi ktk blog yako wakati unaiita ni blog ya wananchi.
kwa amani tu badilika kaka mkubwa hiyo tabia ni chance katika kwa maadui wako kukushambulia maana kila kitu chako wanakijua
Namalizia kwa kukwambia siyo wote tusiosoma hatuna akili ila matatizo ya dunia kwa kukosa ada kwa hiyo kuwa na lugha nzuri si kwa kutukatisha tamaa pia unaweza kuwa msomi halafu ukaenda kununua magazeti ya kiswahili tupu na elimu yake ikawa bora vilele
kuna mwanalfasa mmoja alisema "lugha unayotumia kuwaza ndiyo itakayokuletea mafanikio"
Happy new year