William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Shoga lemutuz au?
Mimi ni shabiki wako mkubwa sana na pia ni role model wangu ktk maisha ya kujitegemea japo wewe mwenzangu una msaada wa wazazitofauti na mimi sina wazazi
Ila kuna kitu sikipendi japo si kibaya ila ni hatari kwako ni tabia yako ya kupost kila kitu ktk maisha yako ya kila siku instagram na pia kupost maisha yako binafsi ktk blog yako wakati unaiita ni blog ya wananchi.
kwa amani tu badilika kaka mkubwa hiyo tabia ni chance katika kwa maadui wako kukushambulia maana kila kitu chako wanakijua
Namalizia kwa kukwambia siyo wote tusiosoma hatuna akili ila matatizo ya dunia kwa kukosa ada kwa hiyo kuwa na lugha nzuri si kwa kutukatisha tamaa pia unaweza kuwa msomi halafu ukaenda kununua magazeti ya kiswahili tupu na elimu yake ikawa bora vilele
kuna mwanalfasa mmoja alisema "lugha unayotumia kuwaza ndiyo itakayokuletea mafanikio"
Happy new year
- hahahahahaha shoga linazidi kujivua nguo lenyewe unaona yakizidiwa hujisema wazi hahahahahahahahah I love JF unabnwa mbavu mpaka unajisema mwenyewe hahahahahahaha
Le Mutuz
- hahahahahahahaha nonsense!!
Le Mutuz
HV ushawah kumbana MTU mbavu we teenager lemutuz?
- HAHAHA UMEISOMA LIVE? HAHAHA
Le Mutuz
Duuu kudeel na mateeneger kama ww kazi IPO aisee
Mungu akubariki tu
Nakuona mzee upo na wajukuu zako
- Sasa hivi live at Bilicanas having fun U know, role model my left foot just KUFWA for me!!
Le Mutuz
2015
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show with American Raper Star TI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show with Nigerian Singer Star Davido[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show with Bongo Biggest Star Singer Diamond Platznumz[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show with Super Star Raper Ney wa Mitego[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Le Big Show with Super Star Wema Sepetu and Kajala!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kubwa jinga huyo jamaa.....umri wote kula kulala kwa mama wa kambo
Huyu ni km mwanaume lakini kwa mbaali naona kitu kama shanga hivi, hahahahaa.
23 years in New York Degree 3 kwa Le mbululaz nisiwe role model wao?
Badaye peoples nimealikwa breakfast na Davis Mosha mchana lunch na CEO Joe Kusaga na usiku tukutane Escape one ni bataz kwa kwenda mbele mpaka kuku waone gere.
Ss ukipga nao hzo pcha ndo inakuaje, tutasema ww ni bora au? Hayo mawazo mm nlikuwa nayo wkt npo primary, unafikiri wengine wakitaka kupiga picha na watu km hao wanashindwa? Kweli wanavokuita teenager hawakosei.
Ss ukipga nao hzo pcha ndo inakuaje, tutasema ww ni bora au? Hayo mawazo mm nlikuwa nayo wkt npo primary, unafikiri wengine wakitaka kupiga picha na watu km hao wanashindwa? Kweli wanavokuita teenager hawakosei.
Ukimwangalia mdogo wake Dr.Mwele Malecela ukamlinganisha na huyu ndo utagundua kuwa Mzee Malecela amepata hasara hapa kwa Le Mutuz.
Mwanamme mzima anajitapa kupiga picha na Wema Sepetu,Diamond and the likes.
Achana na upuuzi unaofanya.Umri na mambo ufanyayo haviendani.