William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mtu kusoma degree 3 alafu zote tofauti ni ishara ya kukosa muelekeo wa kimaisha!
- Ninamiliki kampuni ya Blogu ya Wananchi Media Company, in the process ninatoa ajira kwa vijana, nina kazi ya Transportation Manager Kampuni ya ICD Chikasa na sasa ninafungua Radio na TV kwa kushirikiana na Kampuni ya Delina, ninaishi nyumbani kwangu, ninalipa mwenyewe kodi ya nyumba yangu, ninawasaidia vijana kibao hapa mjini wasio na mueleko, unasema ni kukosa muelekeo wa maisha kwa mtu kama mimi mwenye Degreee 3?
- Ok niambie wewe kimaisha unanizidi kaka au unaimba tu wimbo bila kujua unamuimba nani? Wewe unanijua mimi au unanisikia? Hebu jipime na mambo yangu na maisha yangu halafu niambie kwamba wabongo wote wenye Degree 3 wamefikia nilipofikia tena in 4 years tu nilizorudi bongo? hahahahahaha
- WEWE HUNIJUI MNAIBIMBISHWA NYIMBO BILA KUJUA UNAMUIMBA NANI LE MBURULAZZZZ
Le Mutuz