[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na liban mnalipata wote...
Hivi ni kweli? Sio Nyumba?
hahaha, you're right, mange asingekuacha.- Ni nyumba na kuna watu wanaishi, ndio maana hujaona ikiwekwa ingekua mbovu au mbaya ingeshawekwa hapa hahahahaha
le Mutuz
Ahahahasasa kumbe je...!!?
andaeni panadol
We Mzee sio mkweli...fix sana kuna mtu duniani hapendi vitu vizuri?- Alisema hawezi kuacha makaburi ya ndugu zake Tunduma, nikaamua kununua nyumba Mbeya mjini akaishi bado akakataa well sio muhimu sana ila nahisi nimekusaidia.
le Mutuz
Mtu mnene gani sasa mkuu ambaye ni mgonjwaKuna mbibi alizaa na baba Le mutuzz,huyo binti yao alijinyonga na alikuwa mdogo wake DJ Rankeem (R ip) anasema huyu mtu mnene ni mgonjwa siyo mzima.
We Mzee sio mkweli...fix sana kuna mtu duniani hapendi vitu vizuri?
Eti akakae na makaburi ya nduguze like serious? Amekuwa mganga?
Hata hivyo una roho ya paka asee, kuleta mavituko yako humu kwenye mitandao!
I salute[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mkuu badilisha story hii, watu watakujadili sana, kuna makosa yalifanyika upande wako, utajiexpose vibaya, utaharibu zaidi.we ignore tu jadili au jibu hoja zingine. I mean, lete story ingine, acha story ya bimkubwa.- Kabla sijaenda kumuona after Miaka 31 nilikua nimepigiwa kelele sana so nikaamua kwenda kumuona baada ya kupata nafasi kwa mara ya kwanza nikapiga picha mwenyewe na kuzi post yakaanza makelele, ila ninasema ni bora makelele haya kuliko yale ya zamani kabla sijamuona, ila all and all ninamshukuru Mungu sana kwa kunipa nafasi ya kumuona na kumzika, maana kule Majuu nimeacha jamaa kibao ambao hawakupata hiyo nafasi,
- Majuu nilikua ninapigania maisha yangu na nilimuomba sana Mungu anisaidie maana nisingemsaidia anyone kama mimi mwenyewe sikua sawa na ni sheria ya maisha nimekuja kuitumia all my life mimi kwanza mengine baadaye!
le Mutuz
YALAAAAAAAAA ...uwiiiiiiiiiiiWe Mzee sio mkweli...fix sana kuna mtu duniani hapendi vitu vizuri?
Eti akakae na makaburi ya nduguze like serious? Amekuwa mganga?
Hata hivyo una roho ya paka asee, kuleta mavituko yako humu kwenye mitandao!
I salute[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa nuru ni mdada wa mjini nilikua nakuonaga nae sana miaka flani hivii tukimuuliza lemutuz ni mtu wako anakataa mwisho wa siku akasema nimeachana na lemutuz eti hasi...... acha niishie hapa tu- Ni nyumba na kuna watu wanaishi, ndio maana hujaona ikiwekwa ingekua mbovu au mbaya ingeshawekwa hapa hahahahaha
le Mutuz
Kuna mbibi alizaa na baba Le mutuzz,huyo binti yao alijinyonga na alikuwa mdogo wake DJ Rankeem (R ip) anasema huyu mtu mnene ni mgonjwa siyo mzima.
Hiyo uko sahihi, ya mtu kuukuumiza? Hell no!- Inaelekea ulikua unamjua mama yangu kuliko mimi maana aibu hata baba yangu ameipata sana kwenye maisha yake ya siasa ndiko hasa nilikojifunzia kupuuzia ujinga wa maadui maana niliona baba yangu mzazi akishambuliwa na MWalimu lakini alikua akicheka,
- Mama yangu mzazi nikiwa mdogo siku moja aliingia chumbani kwangu kwa bahati mbaya sana akakuta pesa nyingi sana enzi hizo Bongo, alishangaa sana akaniambia maneno yafuatayo "William unapenda maishaa makubwa sana, uatayapata ila yatakugharimu sana" sijasahau mpaka leo maana ninalipia gharama kubwa sana maisha ninayotaka.
- Unaweza kuniumiza moyo labda nikiwa nimekufa sio nikiwa mzima hahahahaha huwezi wameshindwa wengi sana kabla yako!
le Mutuz
Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa nuru ni mdada wa mjini nilikua nakuonaga nae sana miaka flank hivii tukimuuliza lemutuz ni mtu wako anakataa mwisho wa siku akasema nimeachana na lemutuz eti hasi...... acha niishie hapa tu
Wille eeh...hebu tupia kapicha tumalize ubishi- Ni nyumba na kuna watu wanaishi, ndio maana hujaona ikiwekwa ingekua mbovu au mbaya ingeshawekwa hapa hahahahaha
le Mutuz
Wapi huko mkuu?Kuna mbibi alizaa na baba Le mutuzz,huyo binti yao alijinyonga na alikuwa mdogo wake DJ Rankeem (R ip) anasema huyu mtu mnene ni mgonjwa siyo mzima.
MKUU wewe bado hujamuelewa sana huyu ...jaribu kufuatilia maisha ya ma celeb wengi wanaotamba bongo wengi wanavuma kwaajili ya uchafu wa tabia zao ..nahii nikwasbabu wanazungukwa na Jamii ya vijana ambao wwngi wao ni mazwazwa akili yao huwa inafnya mapokeo ya vitu vyakijinga jinga mnooo ...nandio hao maceleb hupata nafasi ya kujitangaza na kujulikana ..so huyu Jamaa yko nae ameuona huo udhaifu na ndio maana anautumia kwaajili yakuweza kufukia malengo yake aliyojiwekea...kama utakuwa umepitia baadhi ya comment zake kuna mahali anasema hii ni biashara yangu ya mtandaoni ..wewe unanidiscus mimi naendelea kuingiza hela..mkuu badilisha story hii, watu watakujadili sana, kuna makosa yalifanyika upande wako, utajiexpose vibaya, utaharibu zaidi.we ignore tu jadili au jibu hoja zingine.
hahaha, you're right, mange asingekuacha.
Wakati anakwambia hayo maneno hao ndugu zake walikuwepo?- Wazungu walinifundisha kuwa mkweli na hasa kwa mtu kama mimi ambaye my life ni mitandao, kumbuka usiposema wewe ukweli wako kuna ambao watakusemea kwa agenda zao, nitakua kichaa kumsingizia Marehemu Mama yangu maneno ambayo hakusema. Humu kuna ndugu zake wengi wanasoma wanajua ukweli wote, kumbuka huwa sifanyi anything bila justifications ni moja ya sheria ya maisha yangu!
le Mutuz
Kumbe mkuu umestuka eeh!...anazidi kujiexpose tena in negative haswaa doooh!mkuu badilisha story hii, watu watakujadili sana, kuna makosa yalifanyika upande wako, utajiexpose vibaya, utaharibu zaidi.we ignore tu jadili au jibu hoja zingine. I mean, lete story ingine, acha story ya bimkubwa.