Kwa kifupi.. Nimekaa nikajaribu kufatilia aina ya followers alionao Le Mutuz na celebrities wengine wachache.. Most of their followers ni watu wa kiwango cha chini sana kwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo.Na that's why Le Mutuz akipost anything mfano kwenye IG, comments karibia zote zinakubaliana na kitu alicho post.... hakuna mtu anayeargue chochote.
Mfano siku moja alipost kwamba 99% ya wanawake na wanaume walio kwenye ndoa wana cheat..!!
Almost wote walio kuwa wana comment walikuwa wana support... How can u support such a thing just without even asking labda tupe proof ya unachosema..??!! Yeye huwa anasema tu.. Hii ni fact na sio Sheria yangu ndio hali halisi.. Basi. Sikatai mfano kwenye ndoa cheating zipo lakini when someone anakuja na figure (99%)lazima ku ask.. Provide proof kama ni research imefanyika etc etc.
Anyway ukiwa unataka kucheka kwa Ujinga wa kwenye mitandao.. Pitia page ya huyu Le Mburuluzzzz..
Ukimbishia kitu kwa fact anakupiga kufuli.
Hahahaahahaa Nafwaaazzzz.