ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Akiacha nautosa uwaziriNdallo umeacha bangi
sawa tushaona...turudi kwenye habari kubwa mjini...kapuya kabaka
(Miaka 50 + kitambi) / miaka 25 = kusaidiwa...
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini wiliam j.malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.
Jana kulikuwa na uzi hapa jamaa jokoo hapandi mtungi,sasa kaamua kuchukua jiko,mhhh lakini vijana wapo watamsaidia kazi.
Bora aoe kuliko awe mhuni.
Michango ya harusi tunapeleka wapi tafadhali?