Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.
acheni ushamba.mbona amsemi ya mengi.le mutuz ni social mixing up na watu ndo mana....ohhh.asimamish uliwai kumpa?waleta taarab jf.
big up lemutuz.
 
huyu si kuna taarifa kuwa ni mchicha mwiba huyu! mambo ya kuoa anaanzaje sasa
 
HV UNAWEZAJE JUA JOGOO WA MTU APANDI?<tetesi tu zaweza kukuthibitishia juu ya hili?> eleza kwa kina
 
kwani what is not a Problem?
Nadhani kwa kiinglishi hiki unaweza funguka akili.
 
Ataoela kwa baba yake?kwetu ni mwiko[abomination] ukitaka kuoa kwanza jenga nyumba yako na nunua godoro lako mwenyewe,sio kuolea kwenye godoro ulilonunuliwa na baba yako.
 
Ni jambo la heri na baraka kuoa, maana sasa hivi yuko single na anishi kwa wazazi, anamkera sana Mama Anna Kilango. Akioa bila shaka atahamia kwake. Hongera Le Mutuz, Le Baharia.
 
Kwani wewe hautambui ya kuwa Le Mutuz ni taahira?
 
Hili bwabwa linaoa kuficha aibu, h3bu angalia picha yake hapo kama sio babu jinga ni nani?
 
Unaujua umri wa Le Mutuz au unabashiri tu?

Le Mutuz ni over 50!!!! Nilimuona maeneo ya kati mjini juzi Ijumaa amakakamata hako kabinti kiuno wanatembea!!!! Basi vijana wauza mitumba pale jirani na Imalaseko wakawa wanacheka sana!! Si unajua mambo ya Kiamerika tena!!! Halafu huku anaongea na jamaa Fulani kwenye simu akimueleza kuwa ana mpango wa kufungua TV na Radio. Nilicheka sana!! Kabinti ni kadogoo hakika, binti wa kumzaa!!
 

Achaneni naye huyo, ndoa haitadumu, labda tu kama huyo dem atavumilia kumwona mumewe akiliwa kiboga! SHOGA HAACHI ASILI!
 

Wewe ni mkristo?Yusuf akiwa na miaka 90 alimchumbia maria mwenye umri wa miaka 12!Iwapo wewe ni mwislam tuambie mtume alioa binti wa miaka mingapi?Kama huna dini ama unafuata dini za jadi,una kitu cha kushangaa hapo?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Upo kijiji gani mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…