ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
- Thread starter
-
- #41
Yule mzee mwenye umri wa miaka 55 anatarajiea kuoa hivi karibuni bint mwenye umri wa miaka 25 hivi karibuni huko nchini tanzania HONGERA KWAKO LE MUTUZ LE BAHARIA. KWA HATUA HII MUHIMU
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini Wiliam J.Malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.

Umri wa Le Mutuz kufunga ndoa, ana miaka 55
Miaka 56 - Kupata mtoto wa kwanza
Miaka 62 - Mtoto anaanza darasa la kwanza
Miaka 69 - mtoto anamaliza darasa la saba
Miaka 71 - mtoto anaanza form one
Miaka 75 - mtoto anamaliza form four
miaka 76 - Mtoto anaanza form five
Miaka 77 - mtoto anamaliza form six
Miaka 78 - mtoto anaanza chuo mwaka wa kwanza
Miaka 81 - Mtoto anamaliza chuo
Miaka 83 - Mtoto ameanza ajira
Miaka 84 - Mtoto for first time anamnunulia gift baba yake
Miaka 85 - Baba anakufa, mtoto anachukua nafasi ya Baba kuwalea wadogo zake
hayo yote ni upuuzi tu, yanapishana kiwango cha upuuzi....yaani mtu umefika miaka 30 halafu kachanga kanakozaliwa wakati wewe una umri wa miaka hiyo ndo uje ukaowe.... Unajuwa mama wa huyo mtoto ndo angestahili kuolewa na hicho kibabuNaheshmu maamuzi yake, kuliko angefanya upuuzi kama wa Kapuya
Yule mzee mwenye umri wa miaka 55 anatarajiea kuoa hivi karibuni bint mwenye umri wa miaka 25 hivi karibuni huko nchini tanzania HONGERA KWAKO LE MUTUZ LE BAHARIA. KWA HATUA HII MUHIMU
Ndallo umeacha bangi
Alikua hajaoa huyu babu?
Watu mmejaa wivu tu! Nanyie si muoe??
Anataka chukua binti kapuya nini?
Ulitaka akuoe wewe au?
Bora aoe kuliko awe mhuni.
Michango ya harusi tunapeleka wapi tafadhali?
anaoa kwa kuficha aibu gani tena.Hili bwabwa linaoa kuficha aibu, h3bu angalia picha yake hapo kama sio babu jinga ni nani?