Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.
kumbee ndio maana aba mtetea kapuyaa....
 
officially jamii forums imekua mtandao wa udaku.
 
Haters...Lazima kuna anachowazidi Willy, seriously..mmezidi kumwandama mzee wa wabebs wa ukwee.
 
ndo maaanaa! kumbe jamaaa bado alikuwa hajaoa!!!
 
.......mbona le mutuz bado kijana huyooo!! Mengi anaishi na dogodogo, atakuwa le mutuz!!
 
Ndie yule uliyekuwa naye masaki jumapili mishkakini? w.j. malecela. lol
 
anaoa? na kale kamama kaliko kuwa kanajitangaza huku kamepiga picha na bwana harusi eti niko na daddy yenu..kwenye blog..uwiii kua uyaone MAPINDUZI ya millenia
 
Anaolea nini? Si aache tu kuliko kuja kuvuna aibu? Si huwa 'anapumuliwa kisogoni'?
 
.......mbona le mutuz bado kijana huyooo!! Mengi anaishi na dogodogo, atakuwa le mutuz!!

Wa mzee mama twins mbona ni mid 30s??? Huyo ndo dogodogo? Sema tu wanapishana kama 30 years I guess!!! Haki ya nani mwanaye wa kumzaa na kuzidi!!! Aibu wazee hatuna tena, na mabinti kuvulia baba zao nguo!!!
 
Sayansi na sheria vinamruhusu kuoa mwanamke mwenye miaka 25. Mila zenu potofu ndizo zinamkataza asifanye hivyo. Msipende kuingilia starehe za watu. Kama mnataka kujua Le Mutus yupo FIT mumbong'olee mat.......o.
 
Wala hatuhitaji kadi best, si wanafanyia uwanja wa taifa? Tukaweke kambi pale day b4, wakija wanatukuta. Bwana harusi nahisi atavaa kaptula kwi kwi kwi. Ila seriously mi nampenda sana le mutuz japo hafai kwa matumizi. Unajua nikikaa nae ntakuwa nacheka tu na kusahau shida za dunia? Paw akiona hapa nimekwisha hehehe
best fanya mpango basi tupate card...
kuna mtu atatufadhili kwa mavazi na kila kitu, tutatokelezea kama wao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…