Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.
anaoa? na kale kamama kaliko kuwa kanajitangaza huku kamepiga picha na bwana harusi eti niko na daddy yenu..kwenye blog..uwiii kua uyaone MAPINDUZI ya millenia

hahaha!!!!! hana bahati ya kuolewa yule bahati yake short time..
 
saa zingine towage wastaarabu na wenye utu kidogo....hii ishu ni binasfi sana na sijaona km kuna jipya kwa kuwa huyu si wa kwanza kutangaza ndoa, ndoa kila siku zinafungwa na watu wa marika tofautitofauti...kuna uspesho gani kwa huyu? muacheni jamani kwani mwisho wa siku ni jambo la kheri kaamua kuoa...wengine humu kila kukicha wanafuta wa kuwaoa/kuolewa nao na hawapati..so huyu kabahatika kupata mwandani wake na kaamua kumuoa basi TU ACCEPT na kumtakia kila la kheri ktk maisha hayo mapya anayokwenda kuyaanza....!
 
he heee...... hata kama uwanja wa Taifa ndo itakuwa kuingia bure? nadhani kutakuwa na card.
ikiwa kuingia bila kadi best mimi sitaenda maana huko kutoka itakuwa kwa kuomba Mungu.
 
Hii ni spesho case bwana. Huyu hata babake mzazi anajua hii ni special event. Pia Huyu ni bongo selebriti, ndo maana mie nikiolewa chuo kipya hakuna mtu ataniweka kwenye blogu.
 
Tutatoka tu bwana. Tunawahi wakati wanafyagia na kila mtu atajua sie wanakamati. Acha uoga best, umbeya wa mjini unataka commitment. Ndo maana ushamba haukuishi

he he heeee, bado sijawa wa mujini best....au tuseme nimegoma kuwa wa mujini, lol!
haya itabidi niwe komitedi kwa hili maana :tape:
hiyo siku Paw lazima asahau kama ana muke..... busy na shughuli ya watu
 
sijakataa King'asti ishu ni kuwa huyo aliyeona ni big deal jamaa kuoa binti wa 25 yrs wkt yeye ana 50 yrs...si ajabu nionavyo mimi, tuzungumze tu mazuri khs ndoa hiyo na kwamba hilo ni jambo la kheri na Baraka...
Hii ni spesho case bwana. Huyu hata babake mzazi anajua hii ni special event. Pia Huyu ni bongo selebriti, ndo maana mie nikiolewa chuo kipya hakuna mtu ataniweka kwenye blogu.
 
Last edited by a moderator:
Paw niachie. Kum-manipulate mbona rahisi sana? Namsakizia safari ya shamba chalinzeee, ntamletea miti ya michungwa apeleke. Miti 50 tu itamuweka busy. Yaani mjini ujipange shosti hehehe. Kama simu haina betri mbili ndo ukanunue kabisaa, saa ya matukio simu isikuzimikie lol
he he heeee, bado sijawa wa mujini best....au tuseme nimegoma kuwa wa mujini, lol!
haya itabidi niwe komitedi kwa hili maana :tape:
hiyo siku Paw lazima asahau kama ana muke..... busy na shughuli ya watu
 
Hahaha, watu wanaweza kuwa na opinions kuhusu le mutuz. Yeye mwenyewe mbona hajali, akija hapa utaona kicheko chake nnachokipenda. Weye riraksi bwana. Na wewe utashonesha sare tukazamie?
sijakataa King'asti ishu ni kuwa huyo aliyeona ni big deal jamaa kuoa binti wa 25 yrs wkt yeye ana 50 yrs...si ajabu nionavyo mimi, tuzungumze tu mazuri khs ndoa hiyo na kwamba hilo ni jambo la kheri na Baraka...
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, kweli mjini ni kukaa kimatukio...
haya tujipange best.... hivi wameshatangaza tarehe? au ndo tunajiandaa kwa lolote.
 
Age is nothing but a number like any other number
Ukubwa ni dawa-thamani ya mvinyo hutegemea umri na kadiri inavyozeeka ndiyo inakuwa na thamani kubwa zaidi
 
Kusema ukweli kabisaaaa!!! Difference kubwa hivyo vijana watamsaidia tu maana binti hot anataka at least ruond 5 zilizo enda shule sasa jamaa umri+kitambi= at least 3 rounds wakiwa wapya wakizoeana ni 1 na once in a week hapo naomba polisi wamnyang'anye bastola
 
Mambo yake binafsi hayo.
Msiwe kama simple mind, na kuanza kujadili maisha ya watu ilhali kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili kwa maendeleo yenu na taifa kwa ujumla...

Wewe ndo ako kabinti kabichi nini..?
 
Wamependana wenyewe jaman tuwaache, age is just a number, m hapo sioni tatizo
 
SIO SAHIHI KUMJADILI MTU KIASI HIKI.KWANZA SIO KIONGOZI NA MAISHA YAKE HAYATUGUSI WATANZANIA KWA NAMNA YOYOTE.MBONA HUYU JAMAA MNAMFANYA KAMA panchingbegi la JF?ANYWAY NAE ANAPENDA MAISHA HAYA NADHANI MAANA HATA THREAD ZAKE HUWA ZIKO HIVYO HVYO TU.NASIKIA ETI HAWAPATANI NA MAMA ANA KILANGO HATAKI KAZI ZA NYUMBANI.
 
Nyonga,washa,vuta raisi wa wabeba box ndio anakuja Le mutuz Le big Show yupo na mbeibe mkareee you kno bongo kama vp wajipange!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…