Le Mutuz Nation ndani ya Mlimani Tv

Duh kanishangaza eti watanzania hawajui kwa nini wazungu walitengeneza internet na computer? Yaani hiyo nayo issue? Mbona yeye hajui kuvaa ina maana hajui kwa nini wazungu walitengeneza nguo? Kweli kijana ni low thinking.
 
nyie this guy mkimuangalia vizuri he lives life trying to please certain people and tryna act smart and ends up looking dumb..this life! mxa..we all different
 
nimemsikiliza hadi 9.21, nadhani nimzalendo na pia ni smart na ni muelimishaji. nilikuaga sijamsikia. He is cool.
 
ooo gadeem, im vere humbled mingi you know?, ila ngojeeni thread ifike page ya 10 nije kutoa Le tamkoz rasmi!
 
Jamaa huwa yupo smart sana akiongea kwenye media
 
Duh kanishangaza eti watanzania hawajui kwa nini wazungu walitengeneza internet na computer? Yaani hiyo nayo issue? Mbona yeye hajui kuvaa ina maana hajui kwa nini wazungu walitengeneza nguo? Kweli kijana ni low thinking.
Uknw umenichekesha sana....!
 
Duh kanishangaza eti watanzania hawajui kwa nini wazungu walitengeneza internet na computer? Yaani hiyo nayo issue? Mbona yeye hajui kuvaa ina maana hajui kwa nini wazungu walitengeneza nguo? Kweli kijana ni low thinking.

Hivi miaka 50+ bado unamuita kijana tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…