Duh kanishangaza eti watanzania hawajui kwa nini wazungu walitengeneza internet na computer? Yaani hiyo nayo issue? Mbona yeye hajui kuvaa ina maana hajui kwa nini wazungu walitengeneza nguo? Kweli kijana ni low thinking.
Yah that's very true
Ana watoto wawili (wanaojulikana)hivi huyu chaufupi chineneeee ana hata mtoto kweli
Ana watoto wawili (wanaojulikana)
nlionaga picha moja alikuwa kavaa bukta na singlend cjui , ile shape yake kama katuni aisee kuanzia gotini kushuka chini kama broila aisee yaan .....
Ha haaaa
Atakuburuza kwa korti
Ha ha ha ila mi nampendaga huyo babunlionaga picha moja alikuwa kavaa bukta na singlend cjui , ile shape yake kama katuni aisee kuanzia gotini kushuka chini kama broila aisee yaan .....
Ha ha ha ila mi nampendaga huyo babu
Ha ha ha ila mi nampendaga huyo babu