Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
- labda ungeonyesha ya kwako kwako kwanza au unasemaje maana kubishana na mtu hata cheni yenyewe hana ni ujuha onyesha yako kwanza mkuu hahahahahaha!
le Mutuz
UNgekuwa na akili ungeanza kuwashauri JF wafute mfumo wa kutumia nick name lakini kwa kuwa ni mfumo unaokubalika basi ushauri wako hauna maana yoyote ile!!!!
Nani aajiri mtu kama wewe?! Labda akuajiri kuwa kivutio cha biashara yake!!!
- Toka nimezaliwa bongo sijawahi kuajiriwa kwa sababu nilikuwa naogopa sana, by the way mbona kama umeishiwa hoja maana sioni la maana unaloandika zaidi ya kurudia rudia maneno yangu, vipi huna mpya au yamekuishia?
le Mutuz
Toka nimezaliwa bongo sijawahi kuajiriwa kwa sababu nilikuwa naogopa sana, by the way mbona kama umeishiwa hoja maana sioni la maana unaloandika zaidi ya kurudia rudia maneno yangu, vipi huna mpya au yamekuishia?
le Mutuz
Sio kwamba huajiriwi na mtu; sema umri wa kuajiriwa umeshakupita!!!!
Experience yako wewe ni udereva wa malori na kwahiyo mtu akitaka kukupa kazi inayofanana na ulichosomea inabidi uanze as a junior officer! Kwa serikalini, mtu kama huyo anatakiwa awe below 45... umri uliofikisha tangu Mkapa akiwa bado madarakani!!
So, sio kwamba huajiriwi na mtu sema huajiriki na mtu kwa sababu umepitiliza muda wa kuwa na tija!!!
Ndo maana nikakuambia kwamba we mzee bado una kaushamba fulani!! Kwa Dar es salaam hata wakitoa ordha ya watu 500 ya wanaosafiri sana nje ya nchi wewe huwezi kutokea kwenye hiyo orodha lakini watu hawapigi kelele kama wewe!!!
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli bana miaka 59 aajiriwe na nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mzima unafanya kazi ya kuwakudia watoto wa wazee wenzako halafu unajiita akili kubwa?! Akili kubwa au Kubwa J?!- hapana kama una AKILI KUBWAZZ unaingia kwa jina lako wewe huoni hata mmiliki Max yupo kwa jina lake unadhani kashitukia nini? wewe utaendelea kuingizioa pesa wengine tu all your life mpaka utakapoamka usingizini wa kuogopa kutumia id yako kamili hahahahahahaha na ndio maana ya akili ndogo
le Mutuz
Kwahiyo unaonesha kwamba ulipanda ndege au unaonesha Mlima Kilimanjaro?! We babu vipi?
- hahahahahahahaa sure ushamba wangu ni kuonyesha maisha yangu kama yalivyo bila chenga hilo nakubali hahahahahahaha ila haya ndio maisha yangu ya kawaida au unasemaje? hahahahahaha
le Mutuz
- sasa hebu kubalianeni nina miaka 60 au 59? hahahahahahahahaha au 64 kama Pinda?
le Mutuz
Mzee mzima unafanya kazi ya kuwakudia watoto wa wazee wenzako halafu unajiita akili kubwa?! Akili kubwa au Kubwa J?!
We Mzee nani kasema una miaka 60? Au kutokana na uzee ushaanza kupoteza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu?- sasa hebu kubalianeni nina miaka 60 au 59? hahahahahahahahaha au 64 kama Pinda?
le Mutuz
We kuwadi tu!! Na mwisho wa ukuwadi ni kuliwa!!!
- ni kweli sijakataa maana niliwahi kukuuza wewe kwa wanaume ndio maana unayajua ya ukuwadi maana niliwahi kukukuwadia kwa wanaume hahahahahahahhaa ona mtoto wa kizulu South Africa hiyo hahahahahaa ni balahaaa
le Mutuz
- Toka nimezaliwa bongo sijawahi kuajiriwa kwa sababu nilikuwa naogopa sana, by the way mbona kama umeishiwa hoja maana sioni la maana unaloandika zaidi ya kurudia rudia maneno yangu, vipi huna mpya au yamekuishia?
le Mutuz
Kwahiyo unaonesha kwamba ulipanda ndege au unaonesha Mlima Kilimanjaro?! We babu vipi?
Yaani hapo anatamani wote tungeamini yupo 52 ingawaje na wenyewe sio umri wa kitoto hususani mwenye umri huo akifanya mambo yanayofanywa na huyu ajuza!!!Umezaliwa 1964 au 1965 [emoji23][emoji23][emoji23]. Basi tuseme una miaka 52
We kuwadi tu!! Na mwisho wa ukuwadi ni kuliwa!!!
We Mzee nani kasema una miaka 60? Au kutokana na uzee ushaanza kupoteza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu?
Nimekuambia unakimbilia 60?! In a year or two, unagonga umri wa mwisho kabisa kwa kada yoyote kuendelea kuajiriwa!!!
Kwahiyo?! Ina maana hata suala la kwenda kuzika nalo ni la kuonea fahari wakati ni jambo la kawaida?!
- hapa ni juzi nilikuwa natoka kumzika Mzee Ndesamburo, yaani haya ndio maisha yangu kwa mtu asiye na maisha kama unavyosema hahahahahahahahaha
le Mutuz
Yaani hapo anatamani wote tungeamini yupo 52 ingawaje na wenyewe sio umri wa kitoto hususani mwenye umri huo akifanya mambo yanayofanywa na huyu ajuza!!!