Le Mutuz weka ushahidi wa Radio ya Swahili African Media

Status
Not open for further replies.


- Hii ndio itakayokuwa Studio ya Swahili TV leo nilienda kuangalia Engineer Lee from Hong Kong akimalizia touches za mwisho mwisho, tunategemea kumalizika in two weeks time tutaanza majaribio ya kurusha matangazo hewani.









- Ok hii ilikuwa jana usiku hapa nipo na Manager wa Swahili Radio Mr. Kassim, ambaye alikuwa amekuja kuripoti kwangu kuhusu makamilisho ya Studio ya Swahili Radio Morogoro, ujenzi umeisha imebaki tunawasubiri Wataliano kuja kuweka mitambo anytime kuanzia mwisho wa wiki hii, ndio maana ninaenda South Africa kukamilisha mambo mengi muhimu ya Radio na TV na ndicho kilichonipeleka Nairobi juzi.

- Ok naona umechanganya mambo mengi sana naomba nikusaidie FACTS:-

1. African Swahili Media LTD, ina Wakurugenzi 2 ambao ni Share Holders :-1. Davis Mosha 2. William Malecela aka Le Mutuz Nation.

2. Anayefuatia ni Mr. Kassim Babi ni General Manager.
- Wilbroad sio mfanyakazi wa Swahili Media ila ni Mfanyakazi wa Delina, so rekebisha hilo. Mengine sioni la maana zaidi ya majungu majungu ila I hope nimekusaidia wewe na wengine kama wewe.

le Mutuz Nation
 
Hivi watu hamwezi kukaa mkafanya yenu mpaka mhangaike na Le Mutuz.

Hata akionyesha huo ushahidi, bado watu watakuja kusema amepewa tu bila kuchangia chochote.

Au kuna uwezekano watu wanatumwa na mtalaka wake kumchafua jamaa daily
Huyu jamaa watu washamfanya babu yao..Uzuri naye wala huwa hapanic..Akija maeneo kama haya anacheka tu
 

Mkuu le akili kubwazzz, hawa wanaume wanaovaa kaptura za vitenge hazina mifuko wanakuwaga vifuu tundu. Hongera sana.
 
Ukweli ni huu radio ni ya Davis Mosha anamiliki share 99.7%` na akaamua kumpa mpambe wake ambaye ni lemutuz kwa ajili ya free publicity na jina la malecela japo yeye tu mwenyewe hajitambui kwamba angelitumia vizuri jina la malecela angekuwa tajiri bila ya kuwa na haja ya kupakatwa na kutekenywa na watoto wadogo kama kina Ridhiwani au Davis Mosha,Davis Mosha amempa Lemutuz nominal share ambayo ni 0.03 % ambayo kama mtaji wa kampuni ni bilion tatu basi thamani ya mtaji wa Lemutuz kwenye kampuni anayodai ni yake inakuwa shilling za kitanzania laki tatu tu ,sasa jamani hebu imagine mwenzako anatoa bilioni tatu halafu wewe unatoa laki tatu na bado unajiita mmiliki wa radio haha alitakiwa aseme yeye ni mfanyakazi wa swahili media ila kwa heshima Davis kampa hako kashare 0.03% ili ajione na yeye yumo tu haha na uzuri details zote za kampuni zikk Brela kila mtu anaruhusiwa kuona na hapa kwa Data hizi atakuja kupiga kelele na kucheka cheka na kumponda xwife wake lakini hatakuwa na hoja mbadala.
 
Duuu
 
We aidha hesabu zinakusumbua au una chuki binafsi..
1-99.7% na 0.03% haimake 100%..
2- 0.03% ya bilion 3 sio laki tatu..Ukweli sijui upo wapi hapo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…