Ilikuwa 0.3% nilikosea kutype sasa na wewe kimbembele kwanini usiende kucheki na Brela na data ziko wazi.We aidha hesabu zinakusumbua au una chuki binafsi..
1-99.7% na 0.03% haimake 100%..
2- 0.03% ya bilion 3 sio laki tatu..Ukweli sijui upo wapi hapo
Umesema!!!!!!!!!!!!!!!?this family they're very lie.
swissme
So true... Big up le mutuzJambo lililo wazi hadi sasa ni kwamba watu wenye umri wa Le Mutuz hapa Tanzania hawana ubunifu unaoendana na dunia ya leo-- kwahiyo Le Mutuz awe anapata sh. 100 au milioni 100 kwa shughuli zake; kwangu huyu ni one of best old guys in his age group! Mbaya zaidi, ujanja ujanja wa Le Mutuz ni ule unaoendana na vijana wa 20's and 30's lakini bado nao wameshindwa ujanja wa aina hiyo!
BIG up Le Mutuz!
Jambo lililo wazi hadi sasa ni kwamba watu wenye umri wa Le Mutuz hapa Tanzania hawana ubunifu unaoendana na dunia ya leo-- kwahiyo Le Mutuz awe anapata sh. 100 au milioni 100 kwa shughuli zake; kwangu huyu ni one of best old guys in his age group! Mbaya zaidi, ujanja ujanja wa Le Mutuz ni ule unaoendana na vijana wa 20's and 30's lakini bado nao wameshindwa ujanja wa aina hiyo!
BIG up Le Mutuz!