cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!
Nimeona huyu le kokobanga hovyo sana.
Kokobanga ye yee, Mobimba ye yeeeLe King Kokobanga
HahahaKokobanga ye yee, Mobimba ye yeee
acha kumfananisha Sykes na vitu vya kijinga Hahaha.lekokobanga ..
daaahh MzeE anavisa yule ..kama marehemu MzeE Sykes
Yupo sana kuna uzi humu anabisha kuwa hana kibamia
Ni bilionea anaemiliki vyombo vya habari pia king of all bongo social networkW. J. Malecela ndio naniiii?
mzee Sykes nae alikuwa nadrama zake mkuu sema sio za umbea umbea kama lemutuz..acha kumfananisha Sykes na vitu vya kijinga Hahaha.
LemutuzW. J. Malecela ndio naniiii?