Habari wana JF, kuna mdau anatafuta pili pili manga na asali mbichi kwa kiasi kikubwa, kuna yeyote mwenye aidia ya inapopatikana pamoja na bei kwa kilo, lita?
Habari wana JF, kuna mdau anatafuta pili pili manga na asali mbichi kwa kiasi kikubwa, kuna yeyote mwenye aidia ya inapopatikana pamoja na bei kwa kilo, lita?
Ninaweza,Haiyumkini asali uliyonayo ya kutosha order yoyote si hii inayolinwa Tanzania! Maana ya Tz kwa sasa ukiombwa ukusanye walau tani tano kuzipata ni taabu. Kwa kumsaidia awasiliane na National Beekeeping Supplies Ltd kupitia guru wa asali na nyuki 0754678066/0788326309