Kiongozi ni zao la familia, familia iliyobora is likely kutoa watu Bora na hivyo jamii kupata viongozi Bora.
Watanzania kiujumla kama kuna reform muhimu inatakiwa ni Ile reform ya ngazi ya familia, culture ya familia zetu Watanzania ni JANGA.
Ni wazazi walio wengi wanaona majukumu yao ni kununua share na kulipa ada za watoto wao. Mazingira ya nyumbani pale hayaruhusu kupata watoto walio Bora, nafasi ya mama na baba wa kimagharibi ni tofauti na nafasi ya mama na baba wa kitanzania, nafasi ya mwalimu na mazingira ya shule za kimagharibi ni tofauti ya nafasi ya mwalimu na mazingira ya shule za kitanzania zilizo nyingi katika kumkuza mtoto aliye Bora.
Ukitaka kpata viongozi Bora maandamano na katiba zianzie kwenye level ya famia. Ask yourself if not me then who, and not now then when?
The time for positive change is right now. Pretend that every one you meet in street has sign on his face that says " make me become very important".