Leader Of Islamic Group Killed in Detroit

Justice imepatika. The killer is killed.
 
Jamaa alikuwa "Suspect" mkuu lakini wakamshoot to death..hapo hakuna justice "anyway polisi/US wanaruhusiwa kuua" kama wanavyofanya huko iraq na afghanistan..kwasababu ya UDINI..so far that we know!
 
Nilitaka nishangae TUMAIN yuko wapi ku comment hii
 
Jamaa alikuwa "Suspect" mkuu lakini wakamshoot to death..hapo hakuna justice "anyway polisi/US wanaruhusiwa kuua" kama wanavyofanya huko iraq na afghanistan..kwasababu ya UDINI..so far that we know!

Unless you don't know the law, if you start firing your 42 Calibar, wewe elewa kuwa utamwagiwa risasi kibao. Abdulah started, then he got what he wanted. Jamaa alikuwa anawahi kwa mabikira 72! Sasa mbona roho inakuuma, kama na wewe unahamu ya kuwahi kwa Mabikira 72, anzisha zali, utapelekwa mapema.
 
F.Y.I

Abdullah, 53, called his followers to an offensive jihad, rather than a defensive jihad. Hilo ni kosa.
 
Jamaa alikuwa "Suspect" mkuu lakini wakamshoot to death..hapo hakuna justice "anyway polisi/US wanaruhusiwa kuua" kama wanavyofanya huko iraq na afghanistan..kwasababu ya UDINI..so far that we know!

Kisheria polisi wana ruhusiwa kujidefend. Unkiambiwa "Put your hands in the air" or any such warning ukianza kuretaliate wana ruhusa ya kushoot.
 
Wamemuonea mkuu kwasababu ni Muslims hakuna kitu hapo UDINI tuu...mahakama ndiyo ingeweza kusema who was right or wrong
Jamaa alikuwa "Suspect" mkuu lakini wakamshoot to death..hapo hakuna justice "anyway polisi/US wanaruhusiwa kuua" kama wanavyofanya huko iraq na afghanistan..kwasababu ya UDINI..so far that we know!

Muwe mnasomaga habari nzima nzima kabla ya kuanza kuchangia uku mkiwa mnasukumwa na chuki na udini. Kama alivyosema Mwanafalsafa polisi wanaruhusiwa kujilinda sasa, vile vile kumbuka kumshambulia mbwa wa polisi kunachukuliwa kama kumshambulia polisi vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…