Leaders club inaingiza watu wangapi?

Leaders club inaingiza watu wangapi?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naona matamasha makubwa ya muziki
yanafanyika pale
najiuliza huu uwanja unaingiza watu wangapi maximum ?

na viwanja vingine je?

uwanja wa ustawi je?

watu wangapi?

kwa Daresalaam uwanja au ukumbi upi unaweza ingiza watu wengi kwa tamasha?
 
Umenikumbusha usemi mmoja, kuwa ukiona watu wanacheka ujue kuna mawili. Either wanacheka na wewe ama wanakucheka. Inahitjai akili kutambua tofauti
Nadhani hii thread itamsaidia hata king of all social network Le Mutuz ajuwe ni ground ipi itamfaa kwa harusi yake.

Maana yasemekana uwanja wa Taifa unaonekana hautatosha.
 
Unanitesa ukisema unataka kuacha nyinyoz nje, unazipush hadi zinakaribia shingoni.

Zangu zishakuwa kama kamba, nikitaka zibaki nje navaa kimini, zinatokelezea kwenye magoti

Hutaki sasa? Afu unipeleke kule kwenye viwalo vya kuacha kalio na nyinyoz nje. Single inatoka soon
 
Hehehe kuna jeki kama za greda. Inapigwa moja hapo lazma ivuke kidevu aisee. Hata kama ikibidi kuisokota nyinyoz kama chapati bora kuliko tuiache itokee gotini
Unanitesa ukisema unataka kuacha nyinyoz nje, unazipush hadi zinakaribia shingoni.

Zangu zishakuwa kama kamba, nikitaka zibaki nje navaa kimini, zinatokelezea kwenye magoti
 
Unanitesa ukisema unataka kuacha nyinyoz nje, unazipush hadi zinakaribia shingoni.

Zangu zishakuwa kama kamba, nikitaka zibaki nje navaa kimini, zinatokelezea kwenye magoti
konnie UNAUMWA WEWE SIO MZIMA!
hahahahhhahhhahhahahahhahqahahhahahahahhahahhahahahhaha uuuwih!khaaaa!
 
Nakumbuka ile show ya Ludacris walikua around 20000

kama maximum elfu 20 basi angalau

kuna mtu aliniambia haizidi watu elfu 5

ndo nashangaa kuwalipa P square dola laki mbili inalipa kivipi?
 
Nadhani hii thread itamsaidia hata king of all social network Le Mutuz ajuwe ni ground ipi itamfaa kwa harusi yake.

Maana yasemekana uwanja wa Taifa unaonekana hautatosha.

ha haaa uwanja wa Taifa unaingiza watu elfu 60..
sasa yeye ana watu wangapi kama sio mashauzi classic?

akina Michael Jordan harusi zao wageni ni elfu 12....
 
Unanitesa ukisema unataka kuacha nyinyoz nje, unazipush hadi zinakaribia shingoni.

Zangu zishakuwa kama kamba, nikitaka zibaki nje navaa kimini, zinatokelezea kwenye magoti

Aiseeeee!!!!!!!!
 
ha haaa uwanja wa Taifa unaingiza watu elfu 60..
sasa yeye ana watu wangapi kama sio mashauzi classic?

akina Michael Jordan harusi zao wageni ni elfu 12....

na anamuwowa nan jamanmbona nimepitwa mm hapa! masikini huyu bint huruma! le mutuz daah.
 
Back
Top Bottom