mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Wakuu moja kwa moja kwenye mada'
Kwa namna ambavyo timu zinazoshiriki league ya NBC msimu ujao wa 2022/2023 zimefanya maandalizi ya usajili ya watu wa kazi, naiona league yetu inaenda kuongeza ubora katika level ya competition kitu kitakacholeta mvuto kwa wadau wa mpira nchini na nje ya nchi.
Nimeona timu nyingi zimeenda hadi nje kutafuta wachezaji wapya wenue ubora, achilia mbali Simba na Yanga, tazama usajili wa azamu, ihefu, Singida big [emoji93], mtibwa nk, kiukweli league inaenda kuwa ya Moto yenye mvuto.
Msimu huo utakuwa wakati wa kuwa karibu na king'amuzi pendwa Cha azamu maana karibia kila mechi itakuwa Ni fainali, huwezi tabir moja kwa moja nani bingwa na nani Ni watashushwa daraja!
League tu ianze , tupate burudani