"learn to love" hivi hii kitu inawezekana?

"learn to love" hivi hii kitu inawezekana?

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
hawayuu JF!
jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
me nimepata hii doubt baada ya kujikuta nimedevelop friendship nawadada tofauti ambao wanasifa za kua wake wazuritu ila hua sikufall kwa hata mmoja.

hata hivyo nimekua na shaka ya kumweka yeyote kati ya hao katikamahusiano rasmi kwa kua bado sijazihakiki feelings zangu kwake.
hapa ndipo kiini cha swali langu kua inawezekana nikawa na mtu just kwasabab anasifa chanya na nikajifunza kumpenda kadri tutakavyo kua pamoja??
 
Back
Top Bottom