mchukue mmoja mweke ndani
akishaanza kula vyako na wewe kula vyake ndo itakuwa ground nzur ya kuanza kupenda /kupendana na km ikiwa anafanya vle we wapenda na wala hakuboi utampenda tu
nawasilisha
dah! rose swali linakuaja kua "Je kama hutompenda"?? kumbuka ushamweka ndani.
ushamwahidi mengi, mmefuata formalities zote, mbaya zaidi labda yeye anakupenda truly!!
Naogopa mno kumuumiza mtu kimapenzi.
kwa mwanaume nadhani ni ngumu kujifunza lkn kwa mwanamke inawezekana though not sure,,,,,,
ndo ivo ukikaaa nae ndan utampenda km ukitaka kumpenda
i just give u my experience,i had a boy alikua ananipenda sana na alikua ananipa kila ninachotaka pia naweza kusema ana sifa ya kupandwa na mwanamke yeyote kuanzia tabia,mpaka vingine,he knows how to care,how to love,he was so commited lakini nlilikuwa simpendi,nikajipa moyo kuwa ntajifunza kumpenda two years in relationship na most of times tulikua pamoja lakini nlilijikuta inakuwa ngumu sana kumpenda,kilia nilipojaribu kujifunza kumpenda i aproved failure then i become to realize kwamba you can not learn to love someone coz love is naturaly and automaticaly,na lama ukiulazimisha moyo you will suffer for the rest of your life,kilichotokea nilimwacha yule kaka nilimwambia ukweli kwamba nimeshindwa kujifunza kumpenda,nilimwonea huruma coz nilimpotezea muda mwingi na aliweka malengo na matumaini yake yote kwangu,i just warn you,pls dont try to play with peoples feelings,if u don love them find the one u love
Mtende
me nakubaliana na wewe, mpaka nafikia kuweka hi thread hapa ni akua nimejitahidikumpenda mtu lakini nimeshindwa kabisa.lakini hua nasikia kuhusu kijifunza kupenda, so nikawa najiuliza kwa nini haikufunction kwangu??
I hate hurting others romantically.kamwe sitarudia kosa ili as nimemuumiza sana mhusika kwani nilipojiachia kujairib kumpenda yeye ndo ailiweka tiki kua amenipata.things ziliposhindikana kabisa imekua merse kwake.
Comment kama hizi zinatakiwa ziwe na hadhi ya nyota tano aisee dada nakupa tano umeelezea kila kitu na mtoa mada hii post ikuongoze uendako, kama hujampenda mtu una haja ya kuanzisha uhusiano nae mmwage anza mbele utakutana na wako wa moyo huko mbele ya safarii just give u my experience,i had a boy alikua ananipenda sana na alikua ananipa kila ninachotaka pia naweza kusema ana sifa ya kupandwa na mwanamke yeyote kuanzia tabia,mpaka vingine,he knows how to care,how to love,he was so commited lakini nlilikuwa simpendi,nikajipa moyo kuwa ntajifunza kumpenda two years in relationship na most of times tulikua pamoja lakini nlilijikuta inakuwa ngumu sana kumpenda,kilia nilipojaribu kujifunza kumpenda i aproved failure then i become to realize kwamba you can not learn to love someone coz love is naturaly and automaticaly,na lama ukiulazimisha moyo you will suffer for the rest of your life,kilichotokea nilimwacha yule kaka nilimwambia ukweli kwamba nimeshindwa kujifunza kumpenda,nilimwonea huruma coz nilimpotezea muda mwingi na aliweka malengo na matumaini yake yote kwangu,i just warn you,pls dont try to play with peoples feelings,if u don love them find the one u love
Mtende
me nakubaliana na wewe, mpaka nafikia kuweka hi thread hapa ni akua nimejitahidikumpenda mtu lakini nimeshindwa kabisa.lakini hua nasikia kuhusu kijifunza kupenda, so nikawa najiuliza kwa nini haikufunction kwangu??
I hate hurting others romantically.kamwe sitarudia kosa ili as nimemuumiza sana mhusika kwani nilipojiachia kujairib kumpenda yeye ndo ailiweka tiki kua amenipata.things ziliposhindikana kabisa imekua merse kwake.
Hakuna cha kujifunza bwana kwa nini ujifunze wakati ukitulia wa kwako uliyeandikiwa na Mungu atatokea tu?????