Nashauri kabla ya yote anza kuwafundisha hizi sautiUsikate tamaa kila jioni ambatana nami utakijua kichina
Nimenukuu ushauri mkuu. Pia unaweza wasilisha somo Hilo kama ukiweza!Nashauri kabla ya yote anza kuwafundisha hizi sauti
Flat tonetation Píng diào
First tonetation dì yī shēn
Second tonetion dì èr shēng
Third tonation dì sān shēng
Forth tonetion dì sì shēng
Nitaandaa somo la tone ilikila mmoja wetu aelewe vyemaNashauri kabla ya yote anza kuwafundisha hizi sauti
Flat tonetation Píng diào
First tonetation dì yī shēn
Second tonetion dì èr shēng
Third tonation dì sān shēng
Forth tonetion dì sì shēng
Nimenukuu ushauri mkuu. Pia unaweza wasilisha somo Hilo kama ukiweza!
wǒ hěn hǎo, xièxièNi hao
App ganTâmen.
Nimen.
Wômen.
Zanmen.
Ninajifunza kidogo kidogo ninayo app flan mzuri tu kuna jamaa aliandika humu. Niko mbali kidogo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Pia ninayo hii nilidownload kwaajili ya kireno.DUOLINGO
Usikate tamaaIsingekuwa corona sahivi ningekuwa China nakula scholarship. Corona ilifanya walimu wa kichina warudi kwao na wasirudi tena pale SAUT.
NB. Kichina ni chepesi kujifunza kuliko Kifaransa.
Ndio mkuu ni hao hao wenye roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]Ni hao?